Andrew Mwanyika (@baba_sean21) 's Twitter Profile
Andrew Mwanyika

@baba_sean21

🇹🇿 First Class Citizen.

ID: 375023015

calendar_today17-09-2011 11:09:50

4,4K Tweet

635 Takipçi

232 Takip Edilen

KONCEPT TV (@koncept_tv) 's Twitter Profile Photo

Hebu jaribu kutazama huyu jamaa anavyojaribu kuiga mitembeo ya Wanyama na Jamii ya ndege mbalimbali, Je wewe ikipendekezwa uchague MMYAMA mmoja unahisi mwendo wake unakuvutia sana, utamchagua mnyama mwenye mwendo upi hapo kati yao? #KoncepttvUpdates

Andrew Mwanyika (@baba_sean21) 's Twitter Profile Photo

If i was to give this picture a theme song name then it would be “niggas in mboka manyema” because niggas was really in mboka manyema.

If i was to give this picture a theme song name then it would be “niggas in mboka manyema” because niggas was really in mboka manyema.
Andrew Mwanyika (@baba_sean21) 's Twitter Profile Photo

We are out here doing real men isshhh! Kua na kainfluence kidogo kwa X doesn’t mean you are that important. Send me the address

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Yule kijana tuliyemuita Kicha ameanza kutusaidia. Mwaka 2017, Benjamin Fernandez alirudi Tanzania akitokea Stanford University, California, karibu maili 35 kutoka San Francisco—Silicon Valley, mahali ambapo makampuni makubwa ya teknolojia duniani yamezaliwa. Soma Zaidi:👇👇

Yule kijana tuliyemuita Kicha ameanza kutusaidia.

Mwaka 2017, Benjamin Fernandez alirudi Tanzania akitokea Stanford University, California, karibu maili 35 kutoka San Francisco—Silicon Valley, mahali ambapo makampuni makubwa ya teknolojia duniani yamezaliwa.

Soma Zaidi:👇👇
Golden (@goldenc221) 's Twitter Profile Photo

Wisdom Yaani hujaokota okota umetumia muda kutuambia kitu kuhusu q jay,hata wale waliokuwa sio wa generation yake wanaweza pata picha kamili. Nice work Mr Wisdom 👏