Kirombo (@b_assenga) 's Twitter Profile
Kirombo

@b_assenga

Believer✝️
Man United Fun⚽

ID: 1603491795001827340

calendar_today15-12-2022 20:47:07

6,6K Tweet

294 Takipçi

243 Takip Edilen

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Siri 7 za MAFANIKIO Nilizojifunza Kutoka Kwa Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Unaweza Kujifunza Pia) 23,April, 2021... ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alitoboa Siri Kibao za Mafanikio yake Kibiashara... ILA... Hizi 7 ndizo Nilizoziandika👇

Siri 7 za MAFANIKIO Nilizojifunza Kutoka Kwa Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Unaweza Kujifunza Pia)

23,April, 2021...

....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM...

Alitoboa Siri Kibao za Mafanikio yake Kibiashara...

ILA...

Hizi 7 ndizo Nilizoziandika👇
Gilbeima (@gilbeima) 's Twitter Profile Photo

Kijana wangu niliyemfunza kuagiza mizigo china, jana kapokea mzigo wake wa viatu aliouagiza china mwenyewe, Gharama ya raba moja ni Tsh. 8,500 na sasa anaziuza kwa Tsh 40,000 kwa kila moja.

Kijana wangu niliyemfunza kuagiza mizigo china, jana kapokea mzigo wake wa viatu aliouagiza china mwenyewe, Gharama ya raba moja ni Tsh. 8,500 na sasa anaziuza kwa Tsh 40,000 kwa kila moja.
ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Ku eradicate issue ya umasikini wanaume ilipaswa kuanza kwa kuavoid hawa wadada wanaoingia kwenye mahusiano ili wahudumiwe. Hawa wanachangia sana kwa wanaume kurudi nyuma kwa namna moja au nyingine lakini tunapuuza tu which is not.

P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Sasa unaenda kuomba kazi au ushapata kazi unaenda kudai mshahara, bosi anakujibu "Huna familia, pesa unapeleka wapi?" Kamwe usionyeshe Una shiiiida Sana unapoenda kushika tender mahali maana watakushikisha chini na finally kazi iwe mateso

Geeee❤️ (@kimsuretz) 's Twitter Profile Photo

Huwezi Sema upo Arusha halafu ukosekane kwenye Event Leo ni huzuni kwako kukosa Mambo muhimu kama kijana kujifunza mambo mbalimbali na kutanuka kwa Akili tembea ungana na Watu update kujua na kuongezea pale ambako hukua unajua Event inaanza saa mbili Asubuhi Sehemu ni Uzunguni.

Gilbeima (@gilbeima) 's Twitter Profile Photo

Event ya leo Arusha tumejifunza kuagiza bidhaa China kwa nadharia na vitendo, tumekula,tumekunywa na tumefurahi sana, yote haya ni for free, tukidhaminiwa na Abs Group Ltd @nimo_company P'site Shio na Gilbeima

Event ya leo Arusha tumejifunza kuagiza bidhaa China kwa nadharia na vitendo, tumekula,tumekunywa na tumefurahi sana, yote haya ni for free, tukidhaminiwa na <a href="/absgroup_tz/">Abs Group Ltd</a> @nimo_company <a href="/Psiteshio1/">P'site Shio</a> na <a href="/gilbeima/">Gilbeima</a>
WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Timu kubwa zote wiki hii zimeshinda goli tano. Simba imeshinda 5 Bayern imeshinda 5 Leverkusen wameshinda 5 Arsenal wameshinda 5 Sasa kama timu yako imeshinda na haipo hapa unatakiwa kujitafakari

SAMKICHEKO (@samuelmway) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa kubeti leo mapema tu Naomba leo tuache tamaa kabisa mikeka ipo miwili apo kwenye comment kuna mkeka wa odds 17 🔥

Wanangu wa kubeti leo mapema tu Naomba leo tuache tamaa kabisa mikeka ipo miwili apo kwenye comment kuna mkeka wa odds 17 🔥