Attorney at Work & Consultation (@attorneyatwork_) 's Twitter Profile
Attorney at Work & Consultation

@attorneyatwork_

A Law firm you can trust

ID: 1537757199413436416

linkhttp://www.attorneyatwork.co.tz calendar_today17-06-2022 11:21:37

8 Tweet

6 Followers

25 Following

Attorney at Work & Consultation (@attorneyatwork_) 's Twitter Profile Photo

Kima cha chini cha mishahara sekta binafsi kuanzia Januari 1,2023. Sekta zenye kima cha chini cha juu zaidi 1.Sekta ya Nishati Makampuni ya Kimataifa- 592,000 2.Taasisi za fedha- 592,000 3.Huduma za Mawasiliano-500,000 4.Madini wenye leseni za uchimbaji na utafutaji- 500,000

Attorney at Work & Consultation (@attorneyatwork_) 's Twitter Profile Photo

Sekta zenye kima cha chini 150,000 kushuka chini: 1.Migahawa, gesti,baa-150,000 2. Biashara na viwanda-150,000 3. Makampuni madogo ya ulinzi - 148,000 4.Kilimo - 140,000 5.Wafanyakazi za ndani wasioishi kwa mwajiri- 120,000 6. Wafanyakazi za ndani- 60,000