Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile
Athuman Abdul

@athumanabdul13

Rough road

ID: 1387755839373684739

calendar_today29-04-2021 13:09:43

37 Tweet

64 Takipçi

270 Takip Edilen

Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Nyieee kna cku mtasema kila ukipiga mimba mke wako au demu unalipa Kodi akijifungua pia Kodi ukienda choon kwako Kodi Izo Kodi zenu kna cku mtasahau Kama sisi ni WANANCHI wenu mtuuze ili muongeze mapato🤔🤔 Eti madem nao wanafikilia kuongeza ya ktolea ebu tuhurumien mtatuua🤣🏃🏃

Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Mwenye nyumba karibu na benki anijurishe nikapange hko niwe nawahi asbh kkwepa folen za wateja , ndugu zang mawakala taften Kaz nyingine🤣🏃iyo imeingia mkenge

Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Manara anaichukia 700k lkn 4m anaiogopa why🤣😜uyu apmzike tu Simba sio ya baba ake amfate babake utopolon hko ndegeresi kbx🤣🤣🏃🏃🏃

Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Afu anasema anataka knyanyua kombe la afrika kwa huu ujinga😜🤔😂muuuud bhn si utuache tu tuteseke na Simba yetu tushazoea kliko ktamba ruzuk 21bn kmbe deni 😭wkt jez zimekua nzito kwa takataka 🤣🤣 Duuh adi wakubwa wamekua watu wa dili kwel bongo nyoso😂😂

Afu anasema anataka knyanyua kombe la afrika kwa huu ujinga😜🤔😂muuuud bhn si utuache tu tuteseke na Simba yetu tushazoea kliko ktamba ruzuk 21bn kmbe deni 😭wkt jez zimekua nzito kwa takataka 🤣🤣
Duuh adi wakubwa wamekua watu wa dili kwel bongo nyoso😂😂
Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Hi timu kna siku ttaenda kuiokota bonyokwa wanasimba amkeni maana izo taraab sizielewi kbsa 🤣 tajir gn anajivurugia mwenyew 🤔

Hi timu kna siku ttaenda kuiokota bonyokwa wanasimba amkeni maana izo taraab sizielewi kbsa 🤣 tajir gn anajivurugia mwenyew 🤔
Athuman Abdul (@athumanabdul13) 's Twitter Profile Photo

Shule ya nidham na staha, Waliyosoma akina bakhresa, GSM n.k fanyen mpango mmpeleke tajir yenu ndo arudi kwenye brand kbwa🤔