Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile
Arthur Amit

@atemba7

Computer Engineer | IT Consultant | Screen printing | Databases | Web designing & Hosting | Networking | Promotions and General Supplies;hotline: 0753222812

ID: 163473096

linkhttp://www.dellmat.co.tz calendar_today06-07-2010 14:19:55

7,7K Tweet

7,7K Takipçi

6,6K Takip Edilen

TYCOON 29 (@richmuzikitz) 's Twitter Profile Photo

🇰🇪 Kenya ina mengi zaidi! Mandhari za kuvutia, miji yenye historia na tamaduni za kipekee, na fukwe nzuri. Tembelea @MagicalKenya kupitia linki: bit.ly/41LqGJV kujifunza zaidi! #WRC #MagicalKenya #TwendeKwaJirani

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi wamepunguza matumizi ya kondomu, jambo linaloongeza hatari ya maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa. Kupitia kampeni ya #LetsTalkTz ni wakati wa kukumbushan, kubadilika na kuchukua tahadhari. Linda afya yako na mwenzio. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz

Vijana wengi wamepunguza matumizi ya kondomu, jambo linaloongeza hatari ya maambukizi ya VVU na magonjwa ya zinaa. Kupitia kampeni ya #LetsTalkTz ni wakati wa kukumbushan, kubadilika na kuchukua tahadhari.  Linda afya yako na mwenzio.  

#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

"Mlio wa injini, vumbi linapaa, na kasi isiyo na kifani! 🏁🔥 Naivasha itawaka moto kuanzia 20 - 23 Machi 2025! Nani atatwaa taji mwaka huu? bit.ly/41LqGJV 🇰🇪🚗💨 #WRC #MagicalKenya #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025 @MagicalKenya

Si Kila Anayetabasamu hana matatizo.Wengine wanayo ila hawaoni sababu ya kukunja sura ili Kila MTU afahamu matatizo yao. Kunawatu ukiwaonyesha una matatizo wanakuongezea matatizo.Huna haja ya kumwonyesha Kila MTU anayekuzunguka kuwa una matatizo...

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

Mungu akisema ndiyo, hakuna awezaye kupinga. Leo umeamka salama kwakua Mungu ametaka, usiache kumshukuru Mungu kabla ya kuanza kazi zako. Good morning my lovely family

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

A dream doesn't become reality through magic;It takes sweat,determination and hardwork... #latehours #hardworkpays #nitalalauzeeni #dellmatBoss

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

⚠️Waheshimu Watu Wote Lakini Uwe Na Mipaka Usizoee Kila Mtu, Wengine Ni Waovu Ukiwazoea Watakubadilisha Na Kukupoteza.📌

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

BADDEST parrty of the year, revealing the location just 24 hours before, pioneering next level cocktails and flavors and now we’re taking the hype to new heights with #SmirnoffAirlines Keep following @smirnofftz #Noknownaddress #NoKnownAddress #WeDoWe #Smirnofftz #IYKYK

Arthur Amit (@atemba7) 's Twitter Profile Photo

Jifunze kubalance MATARAJIO yako juu ya kitu chochote kwaajili ya usalama wa Afya yako ya mwili na akili- Tee Good Morning Family.