Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile
Ashraf Kambenga

@ashraf_kambenga

Wamin sharri hasidin idhaa hasad. #LatineXGains

ID: 1523678660728967168

calendar_today09-05-2022 14:58:21

14,14K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Naskia kuna watu wamelipwa ili kunishambulia na kunichafua humu X. Sasa waambieni natangaza kuwalipa mara tatu ya pesa walizolipwa ili wakawachafue waliowatuma. Langu jina Le General Kambenga.

Naskia kuna watu wamelipwa ili kunishambulia na kunichafua humu X.

Sasa waambieni natangaza kuwalipa mara tatu ya pesa walizolipwa ili wakawachafue waliowatuma.

Langu jina Le General Kambenga.
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Habari yako Esir. Hongera sana kwa kubarikiwa mabinti mkuu. Ombi langu kwako ni ikikupendeza naomba nilete barua ya kishika uchumba kwa binti yako mkubwa. Nimevutiwa na mfumo unaowaandalia kwa ajili ya kesho yao iliyo bora, naahidi nitamsomesha na kumpenda kwa moyo wangu wote.

Habari yako Esir.

Hongera sana kwa kubarikiwa mabinti mkuu.

Ombi langu kwako ni ikikupendeza naomba nilete barua ya kishika uchumba kwa binti yako mkubwa.

Nimevutiwa na mfumo unaowaandalia kwa ajili ya kesho yao iliyo bora, naahidi nitamsomesha na kumpenda kwa moyo wangu wote.
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Andiko kama hili lingekuwepo ndani ya Quraan basi ningeenda kuungana na dini za mizimu. Lakini kwa jirani zetu wanaliruka kama mdundo wa ngoma za kimasai na hata kushtuka hawashtuki.😂

Andiko kama hili lingekuwepo ndani ya Quraan basi ningeenda kuungana na dini za mizimu.

Lakini kwa jirani zetu wanaliruka kama mdundo wa ngoma za kimasai na hata kushtuka hawashtuki.😂
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Nilichogundua humu X wengi hawana elimu ya Bibilia, wamekaa kufuata mkumbo wa story za Makanisani. Tukiwauliza maswali mnakuja juu kama moto wa kifuu. Sasa mwenye elimu aje atuambie kama Yesu ameamuru ibada ifanyike kila siku. Je aliyepanga ibada siku ya Jumapili ni nani?

Nilichogundua humu X wengi hawana elimu ya Bibilia, wamekaa kufuata mkumbo wa story za Makanisani.

Tukiwauliza maswali mnakuja juu kama moto wa kifuu.

Sasa mwenye elimu aje atuambie kama Yesu ameamuru ibada ifanyike kila siku. Je aliyepanga ibada siku ya Jumapili ni nani?
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Mungu ni Mtukufu, nje ya familia zetu ametukutanisha na watu wapya ambao wamekuwa zaidi ya ndugu wa damu kaka, dada, wajomba na wana kinoma noma. Tunapambana na kutatuliana shida na mishe zinaenda bila wazazi na ndugu kujua. Tunapeana michongo na shida ya mmoja wetu ni yote sote.

Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Leo nimepata 1 week old kitten! Nimekuja nae home kukaa nae, nawaza sijui nitaweza kumlisha maziwa. Nimemnunulia chupa ya maziwa ya watoto, nitaweza kumtunza wakuu?

Leo nimepata 1 week old kitten! Nimekuja nae home kukaa nae, nawaza sijui nitaweza kumlisha maziwa. 

Nimemnunulia chupa ya maziwa ya watoto, nitaweza kumtunza wakuu?
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Ibrah anasema hatomsifu roho mbaya wala kumtangazia mabaya alafu mwisho anakandamiza alitaka kuliwa tunda. “Kama nimetoroka milembe”😂

Ibrah anasema hatomsifu roho mbaya wala kumtangazia mabaya alafu mwisho
anakandamiza alitaka kuliwa tunda.

“Kama nimetoroka milembe”😂
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Ni wachache waliokuwa wakifahamu kuwa wimbo huu ulikua umebeba jumbe za huzuni na malalamiko yenye maumivu ya mapenzi ndani yake.❤️‍🩹

Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Demokrasia ni ghasia. Mabepari walibuni mbinu ya kulazimisha demokrasia kwa nchi za afrika ili kuwarubuni na kunufaika na Rasilimali. Wenye kujua haya wanaitazama EU kama waporaji wa mali za Afrika kwa kuanzisha migogoro na kuleta utatuzi unao wanufaisha wao zaidi.

Demokrasia ni ghasia.

Mabepari walibuni mbinu ya kulazimisha demokrasia kwa nchi za afrika ili kuwarubuni na kunufaika na Rasilimali.

Wenye kujua haya wanaitazama EU kama waporaji wa mali za Afrika kwa kuanzisha migogoro na kuleta utatuzi unao wanufaisha wao zaidi.
Ashraf Kambenga (@ashraf_kambenga) 's Twitter Profile Photo

Unashabikia propaganda za kitoto. Barua hii ingekuwa ni maelekezo ya Ikulu au Rais basi ingeandikwa na Katibu Mkuu Kiongozi pekee.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dodoma, Mei 30, 2025 Siku ya pili ya mkutano wetu jijini Dodoma ambapo kwa pamoja tumezindua Ilani ya CCM 2025-2030. Ilani hii imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa manufaa ya Taifa letu, ikilenga zaidi katika kuchochea