16k (@jackiumeme) 's Twitter Profile
16k

@jackiumeme

MANCHESTER UNITED FANS
SIMBA SPORTS CLUB FANS
BARCELONA FC FANS
Trust honest love will get you killed and
Don't waste your time to prove them wrong

ID: 1086788041

calendar_today13-01-2013 17:55:25

19,19K Tweet

1,1K Followers

862 Following

16k (@jackiumeme) 's Twitter Profile Photo

Uyo kiungo wa kati ndio anawaga viungo wawili Mkabaji na mshambuliaji hapo tuko sawa, means utendaji wao wa majukumu ni tofaut mkuu

GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

2011/2012, Chelsea tulionekana underdog mbele ya Bayern Munich ila kombe tulibeba. UCL 2020/2021, Chelsea tulionekana underdog mbele ya Manchester City ila kombe tulibeba. UCL 2025, sisi kama Chelsea mlituona wanyonge vilevile dhidi ya betis na matokeo mnayo. Sisi tupo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘.

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears โ™ฅ๏ธ Unapopata nafasi ya kuaminiwa kwenye jambo lolote lile iwe ni Kazi Fedha Urafiki Mahusiano Nk : Jitahidi sana kulinda uaminifu wako maana ikitokea umepoteza uaminifu unaweza kusamehewa ila kuaminiwa tena ikawa vigumu!! UKIAMINIWA AMINIKA๐Ÿ‘

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hizi harakati tulianza zamani saanaโ€ฆ 2020 huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ MBOWE tulimuamini na kumpigania saana! Ila katulipa vibaya mno๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Sema kitu ambacho manzi za humu huwa hazifahamโ€ฆ Ni kwamba- sisi Wanaume tukishaamua Kuzama DM, Tunakua tupo Tayari kwa lolote Lile- Kukubaliwa,kukataliwa na hata ikiwezekana Dm kuvuja tupo tayari! Hakuna Dhambi katika kutongoza, hata vitabu vitakatifu