Rahma Hassani(@rahma_hassani) 's Twitter Profileg
Rahma Hassani

@rahma_hassani

ID:1062677589960081408

calendar_today14-11-2018 12:04:15

27,9K تغريدات

35,6K متابعون

3,9K التالية

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Sita mnaoanza mitihani yenu ya kuhitimu elimu ya sekondari leo. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awafanikishe katika hatua hii kwa mafanikio na kila jema katika hatua zinazofuata.

Nina imani kuwa mmetumia muda wenu shuleni…

Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Sita mnaoanza mitihani yenu ya kuhitimu elimu ya sekondari leo. Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awafanikishe katika hatua hii kwa mafanikio na kila jema katika hatua zinazofuata. Nina imani kuwa mmetumia muda wenu shuleni…
account_circle
Eng. Honester Kasilo(@Honester_Kasilo) 's Twitter Profile Photo

'Msimamo wa Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi kuhusu utolewaji wa fomu ya mgombea wa Urais ndani ya chama ndio Msimamo wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi.' |~ Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UVCCM TZ


'Msimamo wa Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi kuhusu utolewaji wa fomu ya mgombea wa Urais ndani ya chama ndio Msimamo wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi.' |~ @jokateM Katibu Mkuu wa @uvccm_tz #KataaUchocheziMuunganoWetuTunuYetu #TukataeLughaZaChukiNaUbaguzi
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

It is with great sadness that I learned of the passing of Sheikh Tahnoon bin Mohammed Al Nahyan, Abu Dhabi Ruler’s Representative in the Eastern Region. My deepest condolences to the Emirati Royal Family, the government and the people of the Emirate of Abu Dhabi and the entire…

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi…

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21).

Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…

Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21). Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

𝐔𝐧𝐚𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐁𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚📑?

Swahiba karibu kwenye mafunzo ya Instaprenyua ule nondo za masuala ya sheria na biashara kutoka kwa 𝐆𝐫𝐚𝐜𝐞 𝐉𝐨𝐚𝐜𝐡𝐢𝐦.

Jiandikishe kupitia Link 👉🏽👉🏽 cutt.ly/crdb-instapren…

𝐔𝐧𝐚𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐁𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚📑? Swahiba karibu kwenye mafunzo ya Instaprenyua ule nondo za masuala ya sheria na biashara kutoka kwa 𝐆𝐫𝐚𝐜𝐞 𝐉𝐨𝐚𝐜𝐡𝐢𝐦. Jiandikishe kupitia Link 👉🏽👉🏽 cutt.ly/crdb-instapren… #SwahibaLanguLako
account_circle