Project CLEAR
@projectcleartz
We balance analytics with implementation by incorporating multidisciplinary inputs to transform the paradigm of organizational and international development
ID: 1301187247023288320
http://projectclear.com 02-09-2020 15:56:46
1,1K Tweet
280 Takipçi
8 Takip Edilen
Before launching field activations for Fanya Kweli, Usibaki Nyuma, Project CLEAR spent 1.5 years in dedicated designing of the project. There was intense groundwork, strategy sessions, planning and preparation. Every step in this journey is fueled by passion and purpose. #MtuniAfya #FanyaKweli
Ufunguzi wa Kikao kazi cha Kampeni ya MTU NI AFYA II cha Wizara ya Afya na Wahariri kutoka vyombo vya Habari mbalimbali nchini. #mtuniafya #wizarayaafya #kikao #fanyakwelisuibakinyuma #kikaokazi Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI AnyitikePM
Just 30 minutes of moving your body every day – it doesn’t have to be in the gym or running, that’s exercise. Do it for real, don’t be left behind.” #millionviews #30MinutesADay #MoveYourBody #HealthIsWealth #DontBeLeftBehind Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @anyitike Mrisho Mpoto
Ni haki ya mtoto kupata Nyama ya kutosha. Wazazi wengi hupendelea kumpa baba sehemu kubwa ya nyama, huku mtoto akipewa kidogo. #nyama #watoto #haki #mtuniafya #protini #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo AnyitikePM Mrisho Mpoto Fanya Kweli, Usibaki Nyuma

Hakuna anayekwepa taka — sote tunazalisha. Swali ni: wewe unachukua hatua gani? Uwajibikaji ni vitendo. Fanya kweli, usibaki nyuma. 🌍✨ #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #worldenvironmentday Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Mrisho Mpoto AnyitikePM
Kila mmoja ana nafasi yake… wengine hutazama tu, wachache huchukua hatua. Taka zako huenda zinakuficha, ukijisikia aibu, ukifikiria ‘ninaanzaje?’… lakini je, kukaa kando kunaleta mabadiliko yoyote? Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI
Je, utaendelea kuzikwepa mpaka lini taka unazozalisha mwenyewe? Au utaamua kuonyesha uwajibikaji, kuanza hatua ndogo leo, na na kuwaití miongoni mía wengi waliokataa kubaki uyuma? Fanya kweli — usibaki nyuma. Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI

Tumezoea kuamini tunachoona ndicho sahihi… lakini je, macho pekee yanaweza kutuonyesha kila kitu? 🤔 Hatua ndogo za kila siku huhakikisha maji salama. Fanya kweli, usibaki nyuma. Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto #FanyaKweliUsibakiNyuma #AfyaYakoNguzoYako #TreatWater
Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu anazalisha taka majumbani na maeneo ya kazi, jambo pekee linabaki ni uwajibikaji. Fanya kweli usibaki nyuma. #sikuyausafishajiduniani2025 #mazingiraniuhai #fanyakweliusibakinyuma #goplanttanzania #clearkamo #safishamazingira Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Katika familia nyingi, baba huchukua sehemu kubwa ya nyama, mtoto hubaki na kipande kidogo na mchuzi mwingi. Leo baba anasema: “Kwa ajili ya mtoto wangu, nipo tayari kwenda buchani kumletea nyama. #FanyaKweliUsibakiNyuma #MtotoKwanza #LisheBora Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Mara nyingi ratiba zetu hutufanya tusahau sekunde chache za kunawa mikono kwa sabuni. Japokuwa Vifaa na maji vipo—swali ni, je, tunavitumia? Fanya kweli, Usibaki Nyuma. #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #millionviews Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Elimu ya Afya kwa Umma Mrisho Mpoto