neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile
neyscassava_tz

@neyscassava

Fried cassavas(Normal/with eggs)|Beef Mishkak|Fried Fish.Opening hrs 09am-10pm Located@Kijitonyama (Kajenge road) ๐Ÿ“ž0713418107 for orders ๐Ÿ˜Š

ID: 1197149508171370497

calendar_today20-11-2019 13:48:07

367 Tweet

1,1K Takipรงi

210 Takip Edilen

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Hellow my Twitter family... Nilikua kimya sana kwa muda mrefu humu na hii ilitokana na sababu zilizokua nje ya uwezo wangu kwa kipindi hicho,,Sasa nimerudi naomba mnikopokee kwa Moyo mmoja kabisa kabisa๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ’› viola julius Ms_Genya ๐๐€๐ƒ๐‘๐” ๐‰๐”๐Œ๐€ ๐‘๐€๐‰๐€๐๐”

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Support yenu ni muhimu sana sana kwetu wapendwa,,hivyo tunaomba muendelee kutushika mkono na sisi tutazidi kuwapa vitu vizuri zaidi. Karibuni sana๐Ÿ’› ๐Ÿ“ž0713 418107

Support yenu ni muhimu sana sana kwetu wapendwa,,hivyo tunaomba muendelee kutushika mkono na sisi tutazidi kuwapa vitu vizuri zaidi.
Karibuni sana๐Ÿ’›
๐Ÿ“ž0713 418107
neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kushiriki tuzo za Malkiawanguvu zinazoandaliwa na team nzima ya โฆClouds FMโฉ...Asanteni sana kwa kutambua ninachofanya na kuona nastahili tuzo hii katika sector ya Chakula. Tunazidi pata hamasa ya kupambana haswa kwetu vijana wa kike.

Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kushiriki tuzo za Malkiawanguvu zinazoandaliwa na team nzima ya โฆ<a href="/cloudsfm/">Clouds FM</a>โฉ...Asanteni sana kwa kutambua ninachofanya na kuona nastahili tuzo hii katika sector ya Chakula. Tunazidi pata hamasa ya kupambana haswa kwetu vijana wa kike.
neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Kwa upekee kabisa naishukuru sana familia yangu kwa kua nami bega kwa bega adi kufikia hapaโค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿป Shukrani zifike kwenu wateja wetu kwa support yenu kubwa ya kila siku๐Ÿ’› Bila kusahau team yangu nzima kwa kuhakikisha Kila siku tunatoa huduma bora kabisa Asanteni sana,kazi iendelee.

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Kuna Hii Package Ya Mihogo 2 โœ–๏ธ Kuku Nusu Makange๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‹ Tsh Elfu 15TU!!!! ๐Ÿ“ž0713418107

Kuna Hii Package Ya Mihogo 2 โœ–๏ธ Kuku Nusu Makange๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‹

Tsh Elfu 15TU!!!!

๐Ÿ“ž0713418107
viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Hi dear naomba retweet yako , huenda boss wangu Yuko Kwa timeline yako. Niwaletee ?? Mtanunua??? Material ni glass nzito na mfuniko bamboo . 6 zitakua zinauzwa 60,000 Ila moja moja ni 14,000 ujazo ni 300 mls. Tuwasiliane 0782388366

Hi dear naomba retweet yako , huenda boss wangu Yuko Kwa timeline yako. 

Niwaletee ?? Mtanunua??? Material ni glass nzito na mfuniko bamboo . 6 zitakua zinauzwa 60,000 Ila moja moja ni 14,000 ujazo ni 300 mls. Tuwasiliane 0782388366
neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

My Twitter Family...Tuna This Amazing Breakfast Package Inapatikana Kila Siku Za Jumatatu-Jumamosi Kuanzia Saa Moja Asubuhi-Saa Nne Asubuhi Kwa Tsh elfu 20TU!!!!!!๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹....Jamani Hizi ndani ya Package ni Cassava Donuts & Cassava Rolls Na Sio Maandazi๐Ÿ˜…!!! ๐Ÿ“ž0713418107 KARIBUNI๐Ÿ’›

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

GOOD MORNING MY PEOPLE....Mmeshapata Breakfast??Kama bado tunayo pack nzuri kabisa ya breakfast Kwa ajili yako... Hii Package Utaipata Kwa Tsh elfu 20TU!! ๐Ÿ“ž0713418107

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Wale Wazee Wa Visinia Tuna Menu Zenu Pambe Kabisaaaaa๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹... ๐๐€๐ƒ๐‘๐” ๐‰๐”๐Œ๐€ ๐‘๐€๐‰๐€๐๐” YUSUPH MBILINYI.Jr iHumphreys viola julius Ms_Genya ๐Ÿ“TUNAPATIKANA KIJITONYAMA KAJENGE ROAD NA DELIVERY TUNAFANYA PIA!! ๐Ÿ“OPENING HRS(MONDAY-SATURDAY 10am-10pm SUNDAYS 12pm-10pm) ๐Ÿ“ž0713418107

neyscassava_tz (@neyscassava) 's Twitter Profile Photo

Try Out Today Our Heavy Breakfast Package๐Ÿ˜‹ 1 CASSAVA ROLL CASSAVA DONUT SPANISH OMELETTE 1/4 FRIED CHICKEN 2 FRIED SAUSAGES MAKANGE YA MBUZI MAHARAGE FRESHY JUICE FRUITS VYOTE HIVI KWA TSH ELFU 20TU! ๐Ÿ“ž0713418107 JUMATATU-JUMAMOSI SAA MOJA ASUBUHI-SAA NNE ASUBUHI KARIBU.