A.M (@masuba___) 's Twitter Profile
A.M

@masuba___

Real estate/Business/Media IJ/Farmer/Agr Consultant based in cash crops/Land opportunist

ID: 1520606967089221632

calendar_today01-05-2022 03:32:53

10,10K Tweet

3,3K Takipçi

834 Takip Edilen

A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Miaka ya sasa unakodi shamba na kulipa in advance 3yrs na miracle agreements watakufuraisha tu, anza hesabu mpya tu

A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Hii nauli ya 80k to 120k Either abiria ni wadau wake wa Geita wanaopiga mishe Chunya wakaomba route ya Mbeya Nje ya hapo akitoboa siku 40 za kwanza kwa hizi bei tutakuja hapa kumpa heshima its too toughly kwake

A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Kenny Mmari Snr. na vijana wote mloamua kuingia kwenye siasa ya Uongozi, Changamoto kubwa kwenu ni KURA ZA MAONI hapa ndio kuna UKATILI wa RUSHWA na ULAGAHI wa SIASA Hilo eneo limeua ndoto za vijana wengi sana, 🏏Mkapambane na msikatishwe tamaa na mtakayokutana nayo

Hongera sana <a href="/KennedyMmari/">Kenny Mmari Snr.</a> na vijana wote mloamua kuingia kwenye siasa ya Uongozi,

Changamoto kubwa kwenu ni KURA ZA MAONI hapa ndio kuna UKATILI wa RUSHWA na ULAGAHI wa SIASA 

Hilo eneo limeua ndoto za vijana wengi sana,

🏏Mkapambane na msikatishwe tamaa na mtakayokutana nayo