MARSELI HINDOY
@marselihindoy
ID: 1909286555312652288
07-04-2025 16:48:01
331 Tweet
8 Takipçi
334 Takip Edilen
“Kuomba huruma unapokuwa kwenye matatizo sio jambo baya. Sasa la msingi ni nini? Siwaombi Majaji chochote mtakachoamua msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.” Tundu Antiphas Lissu John Heche
Nadhani Rev. Dr. Eliona Kimaro ameiweka sawa na watawala madharimu mnapaswa kuelewa... #LissuSiMhaini
Yanayovuma mitandani na DW Kiswahili namna jeshi la polisi nchini Tanzania lilivyowadhibiti kwa virungu na mateke baadhi ya wafuasi wa chama cha upinzani cha CHADEMA waliofika mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam Jumatatu, Septemba 15, 2025.