PARODY (@maokoto0) 's Twitter Profile
PARODY

@maokoto0

......

ID: 1155082869615812608

calendar_today27-07-2019 11:49:51

30,30K Tweet

3,3K Takipรงi

3,3K Takip Edilen

H E R R Y ๐Ÿฆ‰ (@uherry14) 's Twitter Profile Photo

Hawa Tigo Tanzania ni majambazi kababekiiii hiili bando linakimbia sana MB 700 ndani ya dakika 10 ukikaa X ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

แดนแต– ๐Ÿ’Ž (@bojaniii) 's Twitter Profile Photo

Kilimo ni Uti wa mgongo kwa nchi za kiafrika,.Naomba kuuliza Swali? wakizui inamaan na Wao hawata Kusanya Kodi jimbo la mpina ili jimbo hilo litambulike Sio sehem ya nchi ni jimbo lakujitegemea l.enye selikali yake isiyojulikana ??

Kilimo ni Uti wa mgongo kwa nchi za kiafrika,.Naomba kuuliza Swali? wakizui inamaan na Wao hawata  
Kusanya Kodi jimbo la mpina ili jimbo hilo litambulike Sio sehem ya nchi ni jimbo lakujitegemea l.enye selikali yake isiyojulikana ??
Armando (@armando__tz) 's Twitter Profile Photo

Mtu kafiwa na mzee wake saa 2:17 hata Nusu saa haijapita kajaza status eti R.I.P daddy we will miss u. Unabaki unashangaa hata nguvu za kumuonea huruma zinapotea๐Ÿ’”๐Ÿ’” This generation ๐Ÿšฎ

Princess Catie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@pcatnho) 's Twitter Profile Photo

โœโœโœNakukumbusha tu: Katika maisha ushauri kutoka kwa wengine ni mzuri sana, lakini usiuchukue kama ulivyo na kuutendea kazi kumbuka undani wa maisha yako wewe ndo unaujua, mtoa ushauri anayajua kwa kiasi tu. Akili za kuambiwa changanya na zako otherwise utapotea ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

PARODY (@maokoto0) 's Twitter Profile Photo

Wrong house ni movie yenye garama kidogo Sana lakini ni bonge moja la aidia na ni movie Kali Sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Bongo movie mjifunze Kwa hili msikalili mahela tu