Dollar Voice (@malkiakaren) 's Twitter Profile
Dollar Voice

@malkiakaren

Musician From East Africa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ For Booking: [email protected] Instagram: @malkiaKaren Twitter: @Malkiakaren Youtube: @MalkiaKaren

ID: 436626773

linkhttps://youtu.be/6pomNtsUWtE calendar_today14-12-2011 11:11:17

1,1K Tweet

910 Takipรงi

385 Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Falsafa Baba! kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria. #MillardAyoUPDATES

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Falsafa Baba! kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria. #MillardAyoUPDATES
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#BURUDANI Wasanii wanaowania tuzo ya msanii bora wa kiume wa BongoFleva na mwimbaji bora wa kike BongoFleva Tanzania Music Awards 2023. Cc Shilole Zuchu Nandy Harmonize Alikiba #Marioo #DullySykes Mbosso #Ruby Dollar Voice #TMA2023

#BURUDANI Wasanii wanaowania tuzo ya msanii bora wa kiume wa BongoFleva na mwimbaji bora wa kike BongoFleva Tanzania Music Awards 2023.

Cc Shilole Zuchu Nandy Harmonize Alikiba #Marioo #DullySykes Mbosso #Ruby Dollar Voice

#TMA2023
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Ushawahi kuona samaki akipiga reverse? Au Mama mjazito akipiga mwendo wake kwa namna hii? Hongereni wakina Mama wa Korogwe. Kazi Iendelee ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #MamathonKorogwe #MwendoWaMamaKorogwe

Ushawahi kuona samaki akipiga reverse? Au Mama mjazito akipiga mwendo wake kwa namna hii?

Hongereni wakina Mama wa Korogwe. Kazi Iendelee ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#MamathonKorogwe #MwendoWaMamaKorogwe
Dollar Voice (@malkiakaren) 's Twitter Profile Photo

9TH FEBRUARY #NAKUACHAJE COMING OUT.. Natumai Hii Itakata Kiu Yenu Kwa Mwaka Mzima Niliokaa Kimya๐Ÿ’– Tukiendelea na Majonzi Ya Kuvunjiwa Kibanda Changu Lazima Maisha Mengine Yaendelee.. Njia Pekee Yakunifariji Ni Kusupport Mziki wangu ASANTENI SANA Kwa Kunitia Moyo ๐Ÿ™๐Ÿ‘.

9TH FEBRUARY #NAKUACHAJE COMING OUT..
Natumai Hii Itakata Kiu Yenu Kwa Mwaka Mzima Niliokaa Kimya๐Ÿ’–

Tukiendelea na Majonzi Ya Kuvunjiwa Kibanda Changu Lazima Maisha Mengine Yaendelee..
Njia Pekee Yakunifariji Ni Kusupport Mziki wangu
ASANTENI SANA Kwa Kunitia Moyo ๐Ÿ™๐Ÿ‘.
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Ladies and Gentlemen, Mabibi na Mabwana allow me to introduce to you SAMIA QUEENS Ni katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia ndio historia hii imetengenezwa ya wasanii wakubwa wa kike kuja pamoja bila kujali tofauti zao na ushindani wao wa kimuziki tukiongozwa na ulezi wa the

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi (@jabirsaleh) 's Twitter Profile Photo

Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun,Polen sana Ndugu ,Jamaa na Marafiki,pole sana Dollar Voice ,Poleni sana cloudsfm ,Mungu wape nguvu,subira na faraja wakati wote ๐Ÿ™๐Ÿพ

Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun,Polen sana Ndugu ,Jamaa na Marafiki,pole sana Dollar Voice ,Poleni sana cloudsfm ,Mungu wape nguvu,subira na faraja wakati wote ๐Ÿ™๐Ÿพ
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

"Naona comment nyingi sana za watu wengine wakinitabiria kifo na wengine kuniambia miaka mitano sifiki zote naziona na zingine naonyeshwa. Sio rahisi ila sijui nguvu zinatokea wapi na kupambana na hili sababu hata kuna watu wengine wa karibu na Gardner walikuwa na nguvu kama

Dollar Voice (@malkiakaren) 's Twitter Profile Photo

Kipekee Nitoe Shukrani Zangu Za Dhati Sana Kwenu Nyote Kwa Salamu za Pole na za Faraja๐Ÿ•Š๐Ÿ’—. Mwenyezi Mungu akawe Nanyi. Tuendelee Kumuweka Kwenye Maombi Mpendwa wetu Apumzike Kwa Amani. AMEN๐Ÿ™๐Ÿฝ.