Erne Varvede (@lil_meyoung) 's Twitter Profile
Erne Varvede

@lil_meyoung

Am thankful.

ID: 1218097256810848257

calendar_today17-01-2020 09:06:48

323 Tweet

494 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mwaura Robert (@mwaurarobert2) 's Twitter Profile Photo

Maelfu kwa Maelfu tayari tuko barabarani. Ninajisikia furahi isiyokuwa na mwisho,kujua ya kuwa tanganyika nchi yangu ambayo naipenda kwa dhati, inazaliwa upya. Kwa maelfu waliouawa Oct 29,mungu awape pumuziko la milele, mwanga uwape ee mungu muumba mbingu na nchi.

Maelfu kwa Maelfu tayari tuko barabarani. Ninajisikia furahi isiyokuwa na mwisho,kujua ya kuwa tanganyika  nchi yangu ambayo naipenda kwa dhati, inazaliwa upya. Kwa maelfu waliouawa Oct 29,mungu awape pumuziko la milele, mwanga uwape  ee mungu muumba mbingu na nchi.
Mbishi ⚖ (@bizy94) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING ENOUGH IS ENOUGH! 🇹🇿 From Dar es Salaam to Arusha, Mwanza to Mbeya TANZANIANS ARE RISING NATIONWIDE TOMORROW #D9WeRise TO REMOVE THE KILLER SAMIA SULUHU! She has murdered thousands of our youth, rigged elections, hidden bodies! THIS IS WAR AGAINST TYRANNY! WORLD WAKE UP

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kama nilivyowaambia leo Dunia inaangalia Tanzania hakuna risasi labda mabomu ya machozi bebeni maji! Ukisimamishwa unajua pa kupenya ila uaikubali kubebwa na polisi! #D9TanganyikaDay #D9Tunatoka

Kama nilivyowaambia leo Dunia inaangalia Tanzania hakuna risasi labda mabomu ya machozi bebeni maji! 
Ukisimamishwa unajua pa kupenya ila uaikubali kubebwa na polisi!
#D9TanganyikaDay 
#D9Tunatoka
Mangi wa Kichaga (@mangiwakwanza1) 's Twitter Profile Photo

Kuna afande hapa Kimara bucha katuona tumekaa kundi la watu nane katufuata katuambia turudi nyumbani anasema yeye mwenyewe anatukubali lakini serikali waliwapa maagizo watu wasitoke wote wakae ndani, Dah! Kmmk siku ya huru tunapigwa Lockdown wazee, tumemuambia atuache kwanza🙌

Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

Mpaka Sasa hivi hakuna vurugu, hakuna chochote kilichochomwa moto.. hakuna makelele Watu wanaandamana Kwa amani kabisa.. As promised.. ✊🏿✊🏿🔥