Napoleon (@jumbemungoli) 's Twitter Profile
Napoleon

@jumbemungoli

aiming at accomplishing the impossible, edu-tech

ID: 1299704115526799362

calendar_today29-08-2020 13:43:22

888 Tweet

428 Takipçi

502 Takip Edilen

Dania (@daniaothman6) 's Twitter Profile Photo

74 years they've been calling the Palestinians terrorists for doing what ukraine is doing right now. Life is always not fair #UkraineRussia #Palestine #Ukraine

74 years they've been calling the Palestinians terrorists for doing what ukraine is doing right now.
Life is always not fair
#UkraineRussia #Palestine #Ukraine
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zetu zambarauka tupo nao, wanasema hivi.. "Tupo, baadhi ya vijana wa CHADEMA wanamchukia Zitto wanatuchukia hadi wafuasi wa ACT ambao hatuna maneno... Tunampenda Mbowe ila tunafanyia siasa zetu ACT hatuna maneno na mtu.. Wote ni watanzania" Sijapunguza/kuongeza neno!

Ndugu zetu zambarauka tupo nao, wanasema hivi..

"Tupo, baadhi ya vijana wa CHADEMA wanamchukia Zitto wanatuchukia hadi wafuasi wa ACT ambao hatuna maneno... Tunampenda Mbowe ila tunafanyia siasa zetu ACT hatuna maneno na mtu.. Wote ni watanzania"

Sijapunguza/kuongeza neno!
Ig @william_andason (@wiliamandason) 's Twitter Profile Photo

#PleaseRT Nadhani sote tunamkumbuka Dada yetu Mishaly Sumari ambaye kwa miaka zaidi ya 10 yupo kitandani, hawezi kufanya lolote si kukaa, kupika wala kufua na hata kupiga hatua moja.

#PleaseRT Nadhani sote tunamkumbuka Dada yetu Mishaly Sumari ambaye kwa miaka zaidi ya 10 yupo kitandani, hawezi kufanya lolote si kukaa, kupika wala kufua na hata kupiga hatua moja.
Elia (@amani_elias) 's Twitter Profile Photo

TZR Kelvin Napoleon Madenge Ajifunze kwa Mlawa. Hakuna umaarufu/umuhimu bila watu. Heshimu vya wengine kama unavyotaka vyako viheshimiwe. Hupendezwi na # za wengine potezea kwani hata zako hazimfurahishi kila mtu.

. (@its_mubah) 's Twitter Profile Photo

Boss naitwa Mubarak, ni mbunifu na mjasiriamali mdogo wa mavazi mbalimbali. Chanagamoto yangu ni vitendea kazi ikiwemo (sewing, overlocking na button machine) nitashukuru sana kama utanigusa katika hili kwani nitaweza pia kuwapa fursa vijana wenzangu. Asante Kindly rt🙏🏽

Boss naitwa Mubarak, ni mbunifu na mjasiriamali mdogo wa mavazi mbalimbali. Chanagamoto yangu ni vitendea kazi ikiwemo (sewing, overlocking na button machine) nitashukuru sana kama utanigusa katika hili kwani nitaweza pia kuwapa fursa vijana wenzangu. Asante
Kindly rt🙏🏽
CoCo🍫💦 (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Wapendwa tuungane kwa mwana TOT mwenzetu Diplomat Arafat Lesheve Unahitajika mchango apate matibu, tuokoe maisha yake nawaaminia🤞🏽💪🏽 Chochote ulichojaaliwa #ForArafat

Wapendwa tuungane kwa mwana TOT mwenzetu <a href="/arafat_bakir/">Diplomat Arafat Lesheve</a> Unahitajika mchango apate matibu, tuokoe maisha yake nawaaminia🤞🏽💪🏽 Chochote ulichojaaliwa #ForArafat
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

TUKIPATA #REPOST 2000 TUTAPATA ZAIDI YA MILLION 1. MCHANGO WA KULIPA FAINI YA MILIONI 7 YA ENG. MATARRA LIPA NAMBA MITANDAO YOTE: 5554323 MacFoodTz M-PESA: 0769853711 Devota Tweve Mpaka sasa tumekusanya Tsh. 2,131,000 Tuonyeshe nguvu ya umma.

TUKIPATA #REPOST 2000 TUTAPATA ZAIDI YA MILLION 1.

MCHANGO WA KULIPA FAINI YA MILIONI 7 YA ENG. MATARRA 

LIPA NAMBA MITANDAO YOTE:  5554323 MacFoodTz 

M-PESA: 0769853711 Devota Tweve 

Mpaka sasa tumekusanya Tsh. 2,131,000

Tuonyeshe nguvu ya umma.
King (@gallamenna) 's Twitter Profile Photo

Nmepata AI ambayo unaipa Mada inakutengenezea power point for free. Inafanya Kazi Kwa haraka sana Na unakuwa na uwezo wa kuedit picha na maandishi. Repost Comment 'PPT' Nikutumie DM