Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile
Mbundi John

@johnmbundi

A fact of life we all die.But the positive impact you have on others 'll be a living legacy..!

#ElimikaWikiendi #MUFC #SimbaSC

ID: 1572855192

calendar_today06-07-2013 14:08:45

218,218K Tweet

6,6K Takipçi

1,1K Takip Edilen

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa karibu hapa suit_mseleleko upate suti kali tena original zenye mitindo tofauti kwa shilingi 180,000 tu. Chimbo la suti kali, original na accessories !. >Three pieces(koti, suruali na kizibao): 180,000 >Shirt: 30,000 >Chain: 10,000 >Ua: 10,000 >Tie and a pocket square:

winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Mwaka unakaribia kuisha. Una malengo yako hayajatimia kisa huna pesa we wacheki tu Soft Finance Usiogope kukopa hata matajiri wakubwa walianza kwa kukopa. Chukua mkopo leo #SoftFinance na utimize malengo yako. Unangoja nini wacheki fasta upate mkopo ndani ya dk 45 #MpangoPesa

Mwaka unakaribia kuisha. Una malengo yako hayajatimia kisa huna pesa we wacheki tu Soft Finance
Usiogope kukopa hata matajiri wakubwa walianza kwa kukopa.
Chukua mkopo leo #SoftFinance na utimize malengo yako.
Unangoja nini  wacheki fasta upate mkopo ndani ya dk 45
#MpangoPesa
WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Unahitaji mkopo wa dharura kwa mipango yako ya haraka? Soft Finance inakusaidia kwa mkopo wa haraka, masharti nafuu na ndani ya dakika 45 tu kupitia #MpangoPesa, unapata suluhisho lako. Njoo tukuhudumie leo!

Unahitaji mkopo wa dharura kwa mipango yako ya haraka? Soft Finance inakusaidia kwa mkopo wa haraka, masharti nafuu na ndani ya dakika 45 tu kupitia #MpangoPesa, unapata suluhisho lako. Njoo tukuhudumie leo!
🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

Brother hadi leo huna Suit kali za kwendea matukio mhimu Kabsa Sasa kwanini huna Suit na suit_mseleleko wapo kwaajiri yako Wana Suit kali kitambaa Kizuri, suit imepangiliwa vizuri kwa bei rahisi Kabsa Kwa 170,000/= Koti na Suruali Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa

Brother hadi leo huna Suit kali za kwendea matukio mhimu Kabsa

Sasa kwanini huna Suit na suit_mseleleko wapo kwaajiri yako

Wana Suit kali kitambaa Kizuri, suit imepangiliwa vizuri kwa bei rahisi Kabsa

Kwa 170,000/= Koti na Suruali

Location: Msimbazi kariakoo , Mtaa wa
🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 ™ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

Moja ya Malengo niliweka mwaka ni Kujenga mjengo mkali na mkubwa kama ule wa Mengi 🤭 Niliwafataa Soft Finance kuwaelezea nataka Mkopo wa Ujenzi na wao wakanipa ushauri Mzuri Kabsa Kabla ya kuwaza Ujenzi nina biashara ya kuingiza kipato kingine nikiwa najenga huku naweza

Moja ya Malengo niliweka mwaka ni Kujenga mjengo mkali na mkubwa kama ule wa Mengi 🤭

Niliwafataa Soft Finance kuwaelezea nataka Mkopo wa Ujenzi na wao wakanipa ushauri Mzuri Kabsa

Kabla ya kuwaza Ujenzi nina biashara ya kuingiza kipato kingine nikiwa najenga huku naweza
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Harold Matifa, Swahili Agribusiness 🇹🇿 anayejishughulisha na kilimo biashara na ujasiriamali moja kwa moja kutokea Dodoma, #Amejikonekt. Imebaki Siku 1 kuelekea warsha ya ujuzi na maarifa ya soko la ajira la sasa, kazi na ujasiriamali.

Harold Matifa, Swahili Agribusiness 🇹🇿 anayejishughulisha na kilimo biashara na ujasiriamali moja kwa moja kutokea Dodoma, #Amejikonekt.

Imebaki Siku 1 kuelekea warsha ya ujuzi na maarifa ya soko la ajira la sasa, kazi na ujasiriamali.
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Mjasiriamali Faith Lyimo Faith Lyimo, Amejikonekt! Unachohitaji ni taarifa na maarifa sahihi kuhusu ujasiriamali kutoka kwa washauri na wenye uzoefu wa kufanya biashara kwa mafanikio. Tukutane #Nikonekt, Faith.

Mjasiriamali Faith Lyimo Faith Lyimo, Amejikonekt!

Unachohitaji ni taarifa na maarifa sahihi kuhusu ujasiriamali kutoka kwa washauri na wenye uzoefu wa kufanya biashara kwa mafanikio.

Tukutane #Nikonekt, Faith.
Ms_Genya (@scholadecaprado) 's Twitter Profile Photo

Dive into our powerful new #ClimateResilience Documentary on YouTube now! 📽️ Click the link to watch: youtu.be/BorZV1UIxAY 🌱 UNATanzania #ClimateAction

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Mjasiriamali Steven Massawe, #Amejikonekt. Steven atakutanishwa na wataalam wa masuala ya dijitali kwa maarifa zaidi kuhusu ujasiliamali kidijitali. Bado siku moja kuelekea warsha ya #Nikonekt.

Mjasiriamali Steven Massawe, #Amejikonekt.

Steven atakutanishwa na wataalam wa masuala ya dijitali kwa maarifa zaidi kuhusu ujasiliamali kidijitali.

Bado siku moja kuelekea warsha ya #Nikonekt.
Sema Tanzania (@sematanzania) 's Twitter Profile Photo

Siku ya leo, tumezindua rasmi Jukwaa la Ajenda ya Msichana kwa mwaka 2024. Ambapo tumetambulisha rasmi kauli mbiu ya mwaka 2024, mikoa tutakayofikia kupitia shughuli za kabla ya Siku ya Mtoto wa Kike duniani na Mkoa tutakaohitimisha Ajenda ya Msichana, tar 11 Oktoba 2024. Je upo

Siku ya leo, tumezindua rasmi Jukwaa la Ajenda ya Msichana kwa mwaka 2024. Ambapo tumetambulisha rasmi kauli mbiu ya mwaka 2024, mikoa tutakayofikia kupitia shughuli za kabla ya Siku ya Mtoto wa Kike duniani na Mkoa tutakaohitimisha Ajenda ya Msichana, tar 11 Oktoba 2024.

Je upo
Eng. Honester Kasilo (@honester_kasilo) 's Twitter Profile Photo

#NikonektWorkshop ni Ijumaa ya tarehe 13/09/2024. Je, ushapata tiketi yako? Karibu ujifunze #PersonalBranding kutoka kwa maguru Moyo wa TAIFA ™️ na Madenge Kwa 20,000/= tu, piga 0694 490 578 kupata tiketi Leo.

#NikonektWorkshop ni Ijumaa ya tarehe 13/09/2024.

Je, ushapata tiketi yako? Karibu ujifunze #PersonalBranding kutoka kwa maguru Moyo wa TAIFA ™️ na Madenge

Kwa 20,000/= tu,  piga 0694 490 578 kupata tiketi Leo.
allenkaiza_ (@allen_kaiza) 's Twitter Profile Photo

Afya ya uzazi si ngono pekee, mitandao isikudanganye. Afya ya uzazi ni pana na inahitaji utulivu wa akili ili kuelewa na kufanya maamuzi sahihi. Soma taarifa, uliza wataalamu kabla ya kuitumia, kushauri mwenzako au kufanya maamuzi. #afyayauzazi #AfyayaUzaziniHakiYangu

Afya ya uzazi si ngono pekee, mitandao isikudanganye. Afya ya uzazi ni pana na inahitaji utulivu wa akili ili kuelewa na kufanya maamuzi sahihi.

Soma taarifa, uliza wataalamu kabla ya kuitumia, kushauri mwenzako au kufanya maamuzi.
#afyayauzazi #AfyayaUzaziniHakiYangu
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Valence Venance ambaye ni mhitimu wa chuo wa hivi karibuni, #Amejikonekt. Valence atakutanishwa na washauri wa soko la ajira la sasa, kazi na ujasiriamali kwa ujuzi na maarifa zaidi ili afikie uwezo wake kamili. Bado siku moja kuelekea #NikonektWorkshop.

Valence Venance ambaye ni mhitimu wa chuo wa hivi karibuni, #Amejikonekt.

Valence atakutanishwa na washauri wa soko la ajira la sasa, kazi na ujasiriamali kwa ujuzi na maarifa zaidi ili afikie uwezo wake kamili.

Bado siku moja kuelekea #NikonektWorkshop.