Ishengoma Irene
@ishengomairene
I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz ๐น๐ฟ|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.
ID: 898840196673875969
https://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= 19-08-2017 09:32:57
50,50K Tweet
18,18K Takipรงi
2,2K Takip Edilen
Hapa kwenye #USTZTech ambapo vijana wabunifu watapatiwa funds kati ya 50,000 dollars mpaka 250,000 ili kuwezesha mawazo yao . US Embassy Tanzania Jerry Silaa Jumanne Mtambalike Tanzania Startup Association
Kama wadau wa uongozi kwa wanawake vijana tunafuraha kuwa sehemu ya utekelezaji wa mradi wa #USAIDWanawakeSasa kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata haki ya kushiriki katika uongozi na michakato ya demokrasia tukitekeleza pamoja na WiLDAF Tanzania Jamii Forums
Hongera sana kwa washindi wa US Tanzania Tech Challenge Smart The LaunchPad Jamii Check
Natamani niuze hata figo ili niweza kutimiza ndoto za mdogo angu Nili saidiwa na rafiki wa X tukalipa Ada ya muhura mmoja Jana karudi home na barua inatakiwa ada ya muhura wa pili ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐ Nalia kama kichaa yuko kidato cha Nne kafukuzwa Ada... UMASIKINI sio mzuri.
"Vyombo vya habari na media house tayari zina gender policy lakini changamoto ni kwamba bado zimefungiwa kabatini, (Hazifuatwi) kuna kazi ya ziada ya kufanya" Neville Meena. . UNESCO Dar es Salaam #Literacy4GenderEquality #UsawawaKijinsia
On going session on Data journalism for gender equality presented by Jane Shussa from Twaweza - ni sisi #UsawawaKijinsia #Literacy4GenderEquality
Ni jioni ya leo katika viunga vya Nafasi Art Space; Taasisi ya her_education_foundation itafanya Uzinduzi wa filamu ya NAFASI, iliyosheheni uhalisia na mafunzo mengi kwa jamii kuhusu mabinti waliobeba mimba wakiwa shuleni. Usikose๐๐ฅณ๐ฅ ๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐ง ๐๐ข๐ฌ๐ฒ๐ #HerEducation #ArudiShule #Tanzania
#TajiriLaKihaya Wakuu Ukhty ููุจูุฉ ๐ป sio TAPELI na wala mm leo sijakurupuka kumchangiaโฆ Tulianza kuchat nae Toka JULY mwaka huuโฆ lakini nlimpuuza kama kawaida yangu huwa na ignore 1st messages Maana wengi huwa waongo saana! Ila alionesha consistent saana ya kunitext almost