HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile
HUNTER

@hunterjay12345

ID: 1556694350863761414

calendar_today08-08-2022 17:31:01

119,119K Tweet

22,22K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Safari ya Chris Brown Kutoka Tappahannock Hadi Kileleni mwa Muziki na Majaribu ya Maisha. Chris Brown, jina kamili Christopher Maurice Brown, alizaliwa tarehe 5 Mei 1989, katika mji mdogo wa Tappahannock Virginia, Marekani.

Safari ya Chris Brown Kutoka Tappahannock Hadi Kileleni mwa Muziki na Majaribu ya Maisha.

Chris Brown, jina kamili Christopher Maurice Brown, alizaliwa tarehe 5 Mei 1989, katika mji mdogo wa Tappahannock Virginia, Marekani.
HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽฌ ROBIN FENT 'Rihanna' ndiye mwanamke aliyesababisha Marekani ishindwe kumsamehe CHRIS BROWN hadi leo CHRIS BROWN ni 'full package', amebarikiwa sauti, ana kipaji cha kuimba na kucheza kwa wakati mmoja. Hatutahesabiwa dhambi tukikiri, huyu ni Michael Jackson wa zama zake

๐ŸŽฌ ROBIN FENT 'Rihanna' ndiye mwanamke aliyesababisha Marekani ishindwe kumsamehe CHRIS BROWN hadi leo

CHRIS BROWN ni 'full package', amebarikiwa sauti, ana kipaji cha kuimba na kucheza kwa wakati mmoja. Hatutahesabiwa dhambi tukikiri, huyu ni Michael Jackson wa zama zake
DR KIMANGO ๐Ÿ’‰ (@drkimangojr_) 's Twitter Profile Photo

Atakaye nionesha Text za Babe wake lialia kama huyu wangu Whatever iwe Today au ata siku za nyuma uko Namrushia laki 5 Akanywe supu Nataka kuona wangapi mnateswa na mapenzi???๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚

Atakaye nionesha Text za Babe wake lialia kama huyu wangu Whatever iwe Today au ata siku za nyuma uko

Namrushia laki 5 Akanywe supu Nataka kuona wangapi mnateswa na mapenzi???๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚
Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Pale ambapo upo zako Club, DJ anaanza kushusha Playlist yake ya ajabu plus Skrachii za hapa na pale, ama watoto wa uswazi kama wanavyosema "Dj anaSUGUA" ๐Ÿ˜… Playlist ya DJ plus kuSUGUA kunawafanya wana wote ndani ya Club kupata vibe na kuENJOY kwa kile kinachofanywa....Muda

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Pale ambapo upo zako Club, DJ anaanza kushusha Playlist yake ya ajabu plus Skrachii za hapa na pale, ama watoto wa uswazi kama wanavyosema "Dj anaSUGUA" ๐Ÿ˜…

Playlist ya DJ plus kuSUGUA kunawafanya wana wote ndani ya Club kupata vibe na kuENJOY kwa kile kinachofanywa....Muda
MZUNGU PORI๐Ÿ’ช (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Airtel 5G Router mnaweza share na majirani zako walioko nyumba tofauti au wafanya biashara wenzako kwa kuwa inaunganisha vifaa 64 kwa muda mmoja Pia, ina cover distance ya mita 100 Kuanzia bando la 110k kifaa unapewa BURE pamoja na power bank na ethernet cable Wasiliana na

Airtel 5G Router mnaweza share na majirani zako walioko nyumba tofauti au wafanya biashara wenzako kwa kuwa inaunganisha vifaa 64 kwa muda mmoja

Pia, ina cover distance ya mita 100

Kuanzia bando la 110k kifaa unapewa BURE pamoja na power bank na ethernet cable 

Wasiliana na
Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Jobless mwenzangu ni muda wa kutoroka kijiweni na kwenda kukopa msosi kwa mama ntilie.... Baada ya kula hakikisha mdomo unaukausha kinoma noma... Then rudi kijiweni kuwambia ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ "NI MARUFUKU KULA MCHANA" Ivooo yaan ๐Ÿ˜…

Mtoto wa Mama๐Ÿ‘ถ (@centuryboe) 's Twitter Profile Photo

ASAKE this year so far ๐Ÿ’ฏ -Maddison Square Garden โœ… -Youtube Centre โœ… -Capital One Arena โœ… -Michingan ( i.e AfroNation)โœ… -Toyota Centreโœ… -London (i.e Wireless Festival)โœ… - ..โณ "Overseas, dem wan chop me like suya .."

ASAKE this year so far ๐Ÿ’ฏ

-Maddison Square Garden โœ…
-Youtube Centre โœ…
-Capital One Arena โœ…
-Michingan ( i.e AfroNation)โœ…
-Toyota Centreโœ…
-London (i.e Wireless Festival)โœ…
- ..โณ

   "Overseas, dem wan chop me like suya .."