Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

ID: 845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

10,10K Tweet

1,2M Takipçi

1,1K Takip Edilen

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“Acheni Unafiki– Mauaji ya Enock ni zao la mfumo wa CCM” Kuna jambo moja la kusikitisha kuliko mauaji ya kijana Enock Mhangwa ni unafiki wa viongozi wa UVCCM kujifanya wameshtushwa na jambo walilolilea.Enock hakuuliwa na majambazi. Ameuliwa na watu waliovaa mamlaka ya serikali

“Acheni Unafiki– Mauaji ya Enock ni zao la mfumo wa CCM”

Kuna jambo moja la kusikitisha kuliko mauaji ya kijana Enock Mhangwa ni unafiki wa viongozi wa UVCCM kujifanya wameshtushwa na jambo walilolilea.Enock hakuuliwa na majambazi. Ameuliwa na watu waliovaa mamlaka ya serikali