𝗥𝗶𝗰𝗵𝗮𝗿𝗱 𝗧𝘇🇹🇿 (@funnybattles) 's Twitter Profile
𝗥𝗶𝗰𝗵𝗮𝗿𝗱 𝗧𝘇🇹🇿

@funnybattles

comparison concerning
/Politics/sports/entertainments/music/Education/ anything

ID: 1482767686107111424

calendar_today16-01-2022 17:32:40

19,19K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Joseph Mrungu (@mrunguj9) 's Twitter Profile Photo

Naulizwa kwanini? Umechagua kuwa @ChademaTz huoni unajifelisha na kujikoseaha misaada mingi (Jibu) Najubu huku nacheka😂😂 Nikweli @ChademaTz sio Chama dola na mimi Joseph Mrungu Nimechagua kuwa upande wa wapigania (HAKI) Na sio ulicho kitaja. Ghafula jibu la jamaa ni kucheka.

Naulizwa kwanini? Umechagua kuwa @ChademaTz huoni unajifelisha na kujikoseaha misaada mingi (Jibu) Najubu huku nacheka😂😂 Nikweli @ChademaTz sio Chama dola na mimi <a href="/mrunguj9/">Joseph Mrungu</a> Nimechagua kuwa upande wa wapigania (HAKI) Na sio ulicho kitaja. Ghafula jibu la jamaa ni kucheka.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hakuna Mwanasiasa Tanzania hii- anaweza kubali kwenda na TUNDU LISSU on a FREE and FAIR ELECTION ! HAYUPO! Mbowe alijitahidi na wote mliona kilichotokea…

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

WATANZANIA: Sawa Kujitokeza Kuandamana Nakusikiliza Kesi Pale KISUTU Hatuwezi Tunaogopa BUNDUKI Na MABOMU Hata Kuposti Kukemea Huwezi? Sawa Umeshindwa Kujitokeza Barabarani Umeshindwa Kupost Mitandaoni Kaa Kimya Acha Kuzodoa Wanaopost Huu UHUNI Wa Serikali KUMANYOOOOOOOOKO Zenu.

WATANZANIA: Sawa Kujitokeza Kuandamana Nakusikiliza Kesi Pale KISUTU Hatuwezi Tunaogopa BUNDUKI Na MABOMU Hata Kuposti Kukemea Huwezi? Sawa Umeshindwa Kujitokeza Barabarani Umeshindwa Kupost Mitandaoni Kaa Kimya Acha Kuzodoa Wanaopost Huu UHUNI Wa Serikali

KUMANYOOOOOOOOKO Zenu.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Ester Martin Peter cheo Mnadhimu wa Kambi (Resident Sergeant Major – RSM) huyu ndio aliyeongoza siku ya Leo kumvua nguo na kumzalilisha Katibu wa Jimbo la Ilala Elizabeth. Na kwa maelezo ya ELIZABETH huyu ndio alieamuru kupigo kwa yule kijana aliefariki nje ya

Anaitwa Ester Martin Peter cheo  Mnadhimu wa Kambi (Resident Sergeant Major – RSM) huyu ndio aliyeongoza siku ya Leo kumvua nguo na kumzalilisha Katibu wa Jimbo la Ilala Elizabeth. 

Na kwa maelezo ya ELIZABETH huyu ndio alieamuru kupigo kwa yule kijana aliefariki nje ya
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wako anasoma mazingira haya wakati mtoto wa mtawala anasoma Feza kwa gharama ya kodi yako. Hata hivyo kwa ulivyofanywa msukule, 24/7 upo busy kusifu na kuabudu watawala.

Mtoto wako anasoma mazingira haya wakati mtoto wa mtawala anasoma Feza kwa gharama ya kodi yako. 

Hata hivyo kwa ulivyofanywa msukule, 24/7 upo busy kusifu na kuabudu watawala.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

SIKU INAKUJA NA HAIPO MBALI. TUTALIKOMBOA HILI TAIFA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI. REPOST KWA IMANI. COMMENT BENDERA YA TANZANIA.🇹🇿

SIKU INAKUJA NA HAIPO MBALI. TUTALIKOMBOA HILI TAIFA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI.

REPOST KWA IMANI.

COMMENT BENDERA YA TANZANIA.🇹🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Presenter Noah sijaona uzi wa kulaani vitendo walivyofanyiwa Wanawake wa Chadema, jana na leo?? Au nyie huwa mnasubiri kuwatetea - mabinti waliovaa nusu uchi wakifundishwa maadili na wapwa? Cc Carol Ndosi

Ihtisham sikandar (@gharsanayyy) 's Twitter Profile Photo

𝐂𝐲𝐛𝐞𝐫 𝐒𝐞𝐜𝐮𝐫𝐢𝐭𝐲 from Zero to Expert. A Complete Paid Course 𝐅𝐫𝐞𝐞 for 24 Hours. This will help you to crack your dream role. Usually it cost $299 but today it’s free. To get, 1. Like, Retweet 2. Reply “ CS “ 3. Must follow me so I can DM you the link.

𝐂𝐲𝐛𝐞𝐫 𝐒𝐞𝐜𝐮𝐫𝐢𝐭𝐲 from Zero to Expert.

A Complete Paid Course 𝐅𝐫𝐞𝐞 for 24 Hours.

This will help you to crack your dream role.

Usually it cost $299 but today it’s free.

To get,

1. Like, Retweet
2. Reply “ CS “
3. Must follow me so I can DM you the link.
kijana mpole (@bestenicolas) 's Twitter Profile Photo

Hii Dunia sio sehemu ya kuishi Binadamu tu hata viumbe wengine nao wanahaki ya kuishi. Usiue nyoka kama hana madhara kwako huko ni kunyima viumbe wengine haki ya kuishi..💔💔

Hii Dunia sio sehemu ya kuishi Binadamu tu hata viumbe wengine nao wanahaki ya  kuishi.

Usiue nyoka kama hana madhara kwako huko ni kunyima viumbe wengine haki ya kuishi..💔💔
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Kama masikhara tu Mdude anapotea, kama masikhara tu Soka, saa8 na wengine walipotea We must agree that, as citizens and authorities, we failed our brothers big time.🥹💔