franstein (@franstein26) 's Twitter Profile
franstein

@franstein26

francis was here_2019

He was a poetophile!

ID: 1425716604059459587

calendar_today12-08-2021 07:12:27

209 Tweet

289 Takipรงi

337 Takip Edilen

m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Unakosea kutuma pesa inaenda kwa wrong number alafu huyo mtu anakupigia anakuambia โ€œMwanangu save hiyo namba basi uwe unanitumia mara kwa maraโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Huyu analalamika tangu asubuhi hamna mtu amemtafuta wakati sisi ndo maisha yetu hatutafutwi na mtu yeyote anayetaka kutujulia hali zaidi ya simu za wateja ama madeni na SMS za Vodacom M-Pawa na Songesha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Mkiona wengine wanachumbiana na kuoana basi pongezeni ila acheni kutushauri sisi wengine. Mambo ya ndoa na uchumba are not for everyone. Some of us tupo duniani kusema tu โ€œwoow hongera sanaโ€ and continue siping our bottles of beer maisha yasonge!.

Pope Leo XIV (@pontifex) 's Twitter Profile Photo

Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.