
Frank Nyabundege
@fnyabundege
ID: 845689331973066752
25-03-2017 17:30:23
349 Tweet
596 TakipΓ§i
287 Takip Edilen

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) na Naibu Waziri wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara hiyo pamoja na Taasisi zake baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Mafungu (9) ya Wizara ya Fedha na



Mkurugenzi Mtendaji Tanzania Agricultural Development Bank Frank Nyabundege amekutana na Makamu wa Rais wa @afdb_group anaeshughulikia Sekta ya Kilimo, Maendeleo ya Kibinadamu na Kijamii Dkt. Beth Dunford kuzungumzia ushiriano baina ya taasisi hizi mbili katika kilimo, mifugo na uvuvi. #kilimoUshirikiano



MIKOPO YA KILIMO "Idadi ya mikopo imekuwa ikipanda; tulikuwa na mikopoΒ ya Sh. Bil 110; hadi kufikia Juni 30, 2023 tulikuwa naΒ jumla ya mikopo ya Sh. Bil 317 na tunaamini hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu itaongezeka zaidiβ -Frank Nyabundege mkurugenzi Tanzania Agricultural Development Bank #MamaYukoKazini



Mwenyezi Mungu Akujalie Umri Mrefu na Afya Njema Baba Yetu. Ninaendelea kukuombea kheri na Baraka Nyingi. Happy Birthday No. 4 Jakaya Kikwete , Sir







Benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank imethubutu kuwafikia wafugaji wa kimasai ambao walionekana kuachwa na huduma za kifedha(mikopo) na benki nyingine. Baada ya TADB kuingia katika sekta ya mifugo; mikopo imewawezesha pia wafugaji kuanza kufuga kisasa.ππΉπΏ | Cc: Frank Nyabundege




"Wanawake wengi ni nguvu kazi katika sekta ya kilimo, wengine vijana wametoka vyuoni, wengi wanashindwa kukopesheka kwa sababu ya kukosa dhamana, niwatie shime watanzania, serikali ya awamu ya 6 imetuongezea mataji katika mfuko wa dhamana, waende Exim bank kukopa" - Frank Nyabundege


"Benki ya Exim ina matawi mengi nchini, nendeni Exim bank mkakope, mama(Samia Suluhu) amefungua pochi kwa ajili ya watanzania" - Frank Nyabundege


Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha kuwasilisha taarifa ya mwaka mbele ya Msajili wa hazina ndugu Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa benki ya TADB Frank Nyabundege amesema thamani za mali za benki zimekua kutoka shilingi bilioni 448 hadi shilingi bilioni 647.


"Mwaka 2023-24 serikali imeipatia benki ya TADB mtaji wa shilingi bilioni 170 ili tuweze kuwafikia wananchi wengi zaidi, benki yetu ni benki ya maendeleo, tunaendelea kukua ili tuweze kuleta maendeleo katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi nchini" - Frank Nyabundege


π π¦ Mkurugenzi mwendeshaji wa benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank Bw. Frank Nyabundege Frank Nyabundege amekipongeza Chama cha wafugaji wa ng'ombe kibiashara TCCS kwa kuandaa maonesho ya mifugo na mnada na kuahidi kuwa TADB itaendelea kuwa mdhamini mkuu wa maonesho hayo. #TADBπΉπΏ
