College of Vet. Medicine & Biomedical Science, SUA (@cvmbssua) 's Twitter Profile
College of Vet. Medicine & Biomedical Science, SUA

@cvmbssua

Promoting societal transformation through training; knowledge discovery, preservation and dissemination; entrepreneurship and innovation.

ID: 1827244320765759488

linkhttp://www.cvmbs.sua.ac.tz calendar_today24-08-2024 07:20:06

12 Tweet

104 Takipรงi

2 Takip Edilen

Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa SUA mwaka wa nne wanaosoma Shahada ya Tiba ya Wanyama kutoka Ndaki ya Tiba ya Wanyama na Sayansi za Afya wakiendelea kupima mimba kwenye Nyati Maji katika Shamba la Taifa la Mifugo Mabuki lililopo Jijini Mwanza.

Wanafunzi wa SUA mwaka wa nne wanaosoma Shahada ya Tiba ya Wanyama kutoka Ndaki ya Tiba ya Wanyama na Sayansi za Afya wakiendelea kupima mimba kwenye Nyati Maji katika Shamba la Taifa la Mifugo Mabuki lililopo Jijini Mwanza.
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, leo Septemba 9, 2024 amekabidhi rasmi mashine mpya za kisasa za kubaini anuwai za vinasaba vya vimelea (Next Generation Sequencers). Zoezi la makabidhiano hayo limefanyika Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyopo Mabibo, jijini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, leo Septemba 9, 2024 amekabidhi rasmi mashine mpya za kisasa za kubaini anuwai za vinasaba vya vimelea (Next Generation Sequencers).

Zoezi la makabidhiano hayo limefanyika Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyopo Mabibo, jijini
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

NPHL YAKABIDHIWA MASHINE MPYA ZA KUBAINI VINASABA VYA VIMELEA Serikali kupitia Wizara ya Afya imeikabidhi Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii mashine mpya tatu za kisasa za kubaini anuwai za vinasaba vya vimelea (Next Generation Sequencers) Hafla ya makabidhiano hayo imeongozwa

NPHL YAKABIDHIWA MASHINE MPYA ZA KUBAINI VINASABA VYA VIMELEA

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeikabidhi Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii mashine mpya tatu za kisasa za kubaini anuwai za vinasaba vya vimelea (Next Generation Sequencers)

Hafla ya makabidhiano hayo imeongozwa
College of Vet. Medicine & Biomedical Science, SUA (@cvmbssua) 's Twitter Profile Photo

Let's make Tanzania and the world rabies-free. ๐Ÿพ CVMBS is committed to making a difference. Visit our website (link on bio ๐Ÿ‘†๐Ÿฝ) to learn more about our work and how you can join the fight. #WorldRabiesDay #ZeroBy30 #RabiesPrevention #CVMBS #SUA Sokoine University of Agriculture (SUA)

Let's make Tanzania and the world rabies-free. ๐Ÿพ CVMBS is committed to making a difference. Visit our website (link on bio ๐Ÿ‘†๐Ÿฝ) to learn more about our work and how you can join the fight.

 #WorldRabiesDay #ZeroBy30 #RabiesPrevention #CVMBS #SUA
<a href="/SokoineU/">Sokoine University of Agriculture (SUA)</a>
College of Vet. Medicine & Biomedical Science, SUA (@cvmbssua) 's Twitter Profile Photo

Visit our website ๐Ÿ‘‰ cvmbs.sua.ac.tz and see how SUA's CVMBS students are contributing to solving health challenges & shaping the future. #OneHealth #Tanzania #SUA #CVMBS #SUASOHIC