Berry Kim (@berryk_outfits) 's Twitter Profile
Berry Kim

@berryk_outfits

❤️Mother 👨‍👩‍👧‍👧/Wife
🕊 : R.i.p mom n Dad
👑 : Be a little morE yOu,n a Lot less theM
..Happy girl👧🏽 iam love ❤️ iam lighT💡

ID: 1118638856948129792

calendar_today17-04-2019 22:14:21

46,46K Tweet

18,18K Takipçi

3,3K Takip Edilen

S W E B E 👷‍♂️ (@swebe_10) 's Twitter Profile Photo

Tufanye hivi , kuanzia January nitaanza kuwapa madini wale wenzangu na mimi wenye kipato kidogo na wanatamani kujenga ila wanaogopeshwa na neno "UJENZI" au hawajui wapi waanzie. 🤝 *JENGAnaSWEBE*. 👊🔥

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!! Huyu ni ndungu yetu kabisa!! Be safe chafu yangu Fortunatus Buyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲

X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!

Huyu ni ndungu yetu kabisa!!

Be safe chafu yangu <a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.

BREAKING NEWS

Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia  kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni. Kwa kweli ni nyingi. Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe. Asanteni sana Siwezi kuwashukuru mmojammoja

Mangi wa Kichaga (@mangiwakwanza1) 's Twitter Profile Photo

Kiutani utani huyu jamaa naye tunaweza kumsahau kama mdude na wengineo tuendelee kupaza sauti kama ana kesi apelekwe mahakamani ase. Sijui kwa nini watu wanaopigania haki ndio maadui wakubwa kwenye nchi hii💔 #FreeLoyore Maria Sarungi Tsehai @sativa255 Twaha Mwaipaya

Kiutani utani huyu jamaa naye tunaweza kumsahau kama mdude na wengineo tuendelee kupaza sauti kama ana kesi apelekwe mahakamani ase. Sijui kwa nini watu wanaopigania haki ndio maadui wakubwa kwenye nchi hii💔
#FreeLoyore 

<a href="/MariaSTsehai/">Maria Sarungi Tsehai</a> @sativa255 <a href="/Twaha_Mwaipaya/">Twaha Mwaipaya</a>
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS. Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi. #FreeNicodemus REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS.

Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi.

#FreeNicodemus

REPOST 200

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina: Catherine johaness protace Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam. Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.

TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace

Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam. 

Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko. #FreeNicodemusLoyore #FreeNicodemusLoyore

Mpaka sasa bado hatujui Mafwele na Msaidizi wake George Bagyemu wamekupeleka wapi ila tunamuomba Mungu wa Haki aendelee kukulinda huko uliko.

#FreeNicodemusLoyore #FreeNicodemusLoyore
Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

George bagyemu , Nicodumus tunamtaka awe salama Tumekuona ukimchukua, tunajua uko nae Tunaomba awe salama Mwachienieni Nikodemus Repost 890

George bagyemu , Nicodumus tunamtaka awe salama

Tumekuona ukimchukua, tunajua uko nae 
Tunaomba awe salama 

Mwachienieni Nikodemus

Repost 890
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Dear Customers! Ukishanunua TV mpya toa hii karatasi ya juu.. Unapoendelea kutumia ikiwepo unafanya screen inapata joto zaidi kitu ambacho sio salama sana. Call/Whatsapp 0716006808 tuambie ulipo tukuletee na tukutolee kabisa.

Dear Customers! Ukishanunua TV mpya toa hii karatasi ya juu..

Unapoendelea kutumia ikiwepo unafanya screen inapata joto zaidi kitu ambacho sio salama sana.

Call/Whatsapp 0716006808 tuambie ulipo tukuletee na tukutolee kabisa.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Natimiza MIAKA 29 leo. Nimezaliwa 17.1.1997 siku ya IJUMAA saa 4 asubuhi huko hospitali ya “META MBEYA”. Katika umri wangu huu namshukuru MUNGU nimeweza kupitia mengi na kuona mengi ambayo kwangu yamekuwa kama DARASA la maisha. Nimejifunza masomo mazuri sana “HAKI” na kutafuta

Natimiza MIAKA 29 leo.

Nimezaliwa 17.1.1997 siku ya IJUMAA saa 4 asubuhi huko hospitali ya “META MBEYA”. Katika umri wangu huu namshukuru MUNGU nimeweza kupitia mengi na kuona mengi ambayo kwangu yamekuwa kama DARASA la maisha.

Nimejifunza masomo mazuri sana  “HAKI” na kutafuta
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Leo washkaji wanakushangilia una mademu wakali!! Kuna siku manesi watakushangilia umemaliza kikombe cha uji!!! Haya we endelea…Sholako!!

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mie sina connection but kama una connection unaweza msaidia kijana mwenzetu Mawasiliano yake 0796603596🙏🏼Ps Amekubali ku share Public.

Mie sina connection but kama una connection unaweza msaidia kijana mwenzetu Mawasiliano yake 0796603596🙏🏼Ps Amekubali ku share Public.