Ally A Makota (@allyamakota) 's Twitter Profile
Ally A Makota

@allyamakota

LAWYER at JWM ADVOCATES||
P. O. Box 35, Masasi-Mtwara|| Simba Fan|| #TimeTiming

ID: 1418125853964259330

calendar_today22-07-2021 08:28:58

579 Tweet

237 Takipçi

243 Takip Edilen

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Habari hii imenishangaza.Kwa hoja walizozitoa hazina ujinai wowote. Iwapo kweli Kiongozi huyu amekamatwa hili litakua ni shambulio dhidi ya Katiba na Uhuru wa Maoni. Hatuwezi kuruhusu dhuluma na aibu hii kufumbiwa macho.Tuba kemea na kulaani ujinga huu.Tuta saidia kuona haki

Habari hii imenishangaza.Kwa hoja walizozitoa hazina ujinai wowote.

Iwapo kweli Kiongozi huyu amekamatwa hili litakua ni shambulio dhidi ya Katiba na Uhuru wa Maoni.

Hatuwezi kuruhusu dhuluma na aibu hii kufumbiwa macho.Tuba kemea na kulaani ujinga huu.Tuta saidia kuona haki
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa, nipo na Mawakili wenzangu TLS Geita tunashughulikia dhamana. Credit to Adv Vianey Mbuya Roll No. 5015. Nina kushukuruni Mawakili Geita kila mmoja kwa nafasi yake Husan Adv. Vianey Mbuya ambao toka asubuhi mumeacha shughuli zenu na kuhakikisha haki kwa kijana huyu.

Mheshimiwa, nipo na Mawakili wenzangu TLS Geita tunashughulikia dhamana. Credit to Adv Vianey Mbuya Roll No. 5015.

Nina kushukuruni Mawakili Geita kila mmoja kwa nafasi yake Husan Adv. Vianey Mbuya  ambao toka asubuhi mumeacha shughuli zenu na kuhakikisha haki kwa kijana huyu.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Ndio nmemaliza kuswali Taraweeh hapa… kwa alichokiandika FARHAN KIHAMU asubuhi… Kwangu binafsi kimenipa Picha nzuri saana ya Jinsi CLOUDS MEDIA walivyo… Kwa alichokieleza baasi nafikiri kwa hapa Tanzania Hakuna MEDIA ambayo inaifikia Clouds kwa KUFUNGULIA

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia Mr Burudani ujue huyo ni Darassa, ukisikia Masai wa Mjini ujue ni Ali Kiba wa Kariakoo, ukisikia Bomboclat ujue Rajabu wa Mahuta, Mtwara wenyewe mnamwita Mfalme wa Nyashi, ukisikia Kibana ba Straata achana na Bilnass wa Nandy ila iweke Simba ndio Mwana halisi wa Mtaa

Ukisikia Mr Burudani ujue huyo ni Darassa, ukisikia Masai wa Mjini ujue ni Ali Kiba wa Kariakoo, ukisikia Bomboclat ujue Rajabu wa Mahuta, Mtwara wenyewe mnamwita Mfalme wa Nyashi, ukisikia Kibana ba Straata achana na Bilnass wa Nandy ila iweke Simba ndio Mwana halisi wa Mtaa
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

IWE KIFUNGO AU KIFO. 1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi

IWE  KIFUNGO AU KIFO. 

1.Msimamo wangu kuhusu Muungano uko Bayana. Tuwe na Serikali Moja au la Tuwe na Serikali Tatu.Hatuwezi kuwa na Muungano ambao Taifa moja linabaki na mambo yake yote halafu mambo yote ya Taifa lingine yanageuzwa kuwa ndiyo mambo ya Muungano .Kama hatuwezi
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Changamoto za kuchart na Manzi mwenye kiswaswadu mnazijua vizuri wazee??? Niidake toka kwa James Munisi ili hii nimpasie Mtoto, mimi nibaki na Tambo jipya sasa 😅

Changamoto za kuchart na Manzi mwenye kiswaswadu mnazijua vizuri wazee???

Niidake toka kwa <a href="/NjiwaFLow/">James Munisi</a>  ili hii nimpasie Mtoto, mimi nibaki na Tambo jipya sasa 😅
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

"Isafishe uniletee hizo Picha kwa ajili ya kumbukumbu kwa Wanangu wajue nawasomesha kupitia hii Biashara" hii kauli ikanifanya nitoe nauli yangu niliyo tenga pembeni leo nimpe. Ilikuwa kabla sijavuka road nikaona maza kabeba Ndizi nzuri nikaomba nimpige Picha.