~BøulaH Fabinhō
@_boulah25
SkyIsTheLimit
SABR🤲
ID: 1604043144785428480
17-12-2022 09:18:24
3,3K Tweet
208 Takipçi
538 Takip Edilen
El Shayateen El Homr(mashetani wekundu) Al Ahly SC 🇬🇧 kwa Buccaneers(maharamia) Orlando Pirates hawajawahi kuleta ubabe 2013 alikufa pia 3-0 leo kidogo kajitahidi kapata goli la kufutia machozi Patrick "Tito" Maswanganyi alikuwa kama Captain Jack Sparrow.
Halotel_Tanzania mtandao wenu ni wa hovyo kweli kweli na Cha kushangaza ni miaka nenda Rudi hata hambadiliki. Unatumiwa txt hazifiki kwa wakati , ukipigiwa simu haupatikani Hadi urudie kupiga mara nyingi. 🚮
Leo Selemani Mwalimu ameelekea Morroco kupitia Doha Qatar kwaajili ya kuanza majukumu yake mapya na club yake mpya Wydad Red Castle
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 Tujikumbushe maana wanaweza kuwa wamesahau RIP Midfield Bamia💔