Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profileg
Arthur Samuel

@ArthurSamTz

MTANZANIA | BABA | YANGA FAN

ID:139375646

calendar_today02-05-2010 12:08:11

8,3K تغريدات

12,5K متابعون

1,5K التالية

Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

Tukumbushane tu…. Kikosi kilichocheza leo ni kile kile kilichocheza na Al Ahly ina maana ile nafasi Mashujaa wangeitendea haki kama Taifa 😂😂😂😂

account_circle
Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

WAHUNI in Polepole voice hata kwenye soka la Afrika wapo… leo ni kukwamisha mpira ukanda wa Afrika Mashariki usiendelee… tumeona Yanga wakionewa mchana kweupe kabisa. Ila sisi tunasema Yanga ni Bingwa

account_circle
Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

Hichi kikosi ni imara sana… tunaamini mpaka kuvaa jezi yenye nembo ya Yanga. Wanajeshi mpo tayari kwenda kuipambania bendera ya Yanga na 🇹🇿 mnaenda kutupa matokeo 🟩🟨

Hichi kikosi ni imara sana… tunaamini mpaka kuvaa jezi yenye nembo ya Yanga. Wanajeshi mpo tayari kwenda kuipambania bendera ya Yanga na 🇹🇿 #Tunawaamini mnaenda kutupa matokeo 🟩🟨 #DaimaMbeleNyumaMwiko
account_circle
Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa habari wanaenda kwenye post match kuzungumza na makocha. Lazima wajitafakari..

Muandishi: Kwanini umemuanzisha Mzize badala ya Gued ambaye, mzize hana experience

Gamondi: Wewe ni muandishi? umesoma chuo? Unajua Mpira? Mzize ni future ya Tanzania siyo Yanga pekee👍🏾

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu kinanambia Timu zitakazocheza Fainali ya CAFCL Zote weekend hii zitacheza Match zake Benjamin Mkapa Stadium.

account_circle
Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

Wa-Sauzi wenyewe wanakwambia ubora wa Young Africans SC na Data wanazo kuna mtu ameshiba zake magimbi bila nazi anakuja kusema Yanga ndio mwisho wake…

Wa-Sauzi wenyewe wanakwambia ubora wa @YoungAfricansSC na Data wanazo kuna mtu ameshiba zake magimbi bila nazi anakuja kusema Yanga ndio mwisho wake… #Tuwaapuuze
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

H.E President Samia Suluhu will have a meeting with Pope Francis and later with Vatican Secretary of State, Cardinal Pietro Parolin. For the audience with the Holy Father, the President will bring along a few lay Catholics from different parishes in Tanzania.

account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Summary of my bilateral meetings with Foreign Affairs colleagues from a number of countries in Uganda from 17-18 January 2024.

account_circle
Arthur Samuel(@ArthurSamTz) 's Twitter Profile Photo

Djigui Diarra anawaweka bench makipa wengi sana ligi kuu ya Ulaya tukianza na Manchester United yule Onana anasubiria tena wanampeleka kwa mkopo

Djigui Diarra anawaweka bench makipa wengi sana ligi kuu ya Ulaya tukianza na Manchester United yule Onana anasubiria tena wanampeleka kwa mkopo
account_circle