Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile
Anthony Charles

@anthonchaz

Building websites that work (10+ done) | Web design & hosting @Tanzlite | Content writer.

ID: 1551447302765793280

linkhttps://www.anthoncharles.com calendar_today25-07-2022 06:08:20

271 Tweet

47 Followers

60 Following

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Moja ya Machimbo mazuri ya kujifunza digital Marketing (Inbound & Outbound Sales), SEO strategies, Ni hapa hubspot academy.hubspot.com/courses, binafsi nimejifunzia pale. Uzuri kozi zao ni bure. Mfano unataka kujifunza marketing, bonyeza hiyo link hapo juu kisha search "marketing"

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Moja ya vitabu nilivyosoma hadi nikasema kuna watu Mungu amewaleta duniani ili kuikomboa jamii ni hiki "Mbele ya Muda". Madini yaliyomo humu siyo ya Nchi hii hasa hasa sisi tunaojitafuta mtandaoni. Kwanza picha linaanza mwandishi mwenyewe hatafuti kazi, kazi zinamfuaga DM.

Moja ya vitabu nilivyosoma hadi nikasema kuna watu Mungu amewaleta duniani ili kuikomboa jamii ni hiki "Mbele ya Muda". 

Madini yaliyomo humu siyo ya Nchi hii hasa hasa sisi tunaojitafuta mtandaoni. 

Kwanza picha linaanza mwandishi mwenyewe hatafuti kazi, kazi zinamfuaga DM.
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

Kenyan President William Ruto has called for the harmonisation of telecommunications across East Africa to lower costs and ease cross-border communication.

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Nilichojifunza kuhusu pesa na uwekezaji. Unaweza kupata laki moja kwenye kila laki tano unayowekeza. Lakini huwezi kupata laki tano kwenye kila laki moja unayowekeza. Hiyo kwenye biashara haipo. Soma tena.

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Watu wanasema saivi AI inatengeneza graphics kali, inatengeneza mifumo, website hata kama mtu siyo expert kwenye hilo eneo anaweza ku execute vizuri. Sawa, lakini mimi sikubaliani na hilo na kama unabisha. Leta graphics au mfumo ambao umemtengenezea mteja na akakulipa. Most

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Jana mteja alinipigia simu kabla hajachukua Canva Pro kwangu aliuliza "Hiyo sio ile ya kubadilisha team kila mwisho wa mwezi unanitumia link nyingine?" Nikajibu hapana hii ukinunua ya mwaka, miezi hubadili team ni hiyo hiyo moja. Mteja: Poa man, nipatie kwanza ChatGPT Pro.

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Jinsi ya kuweka biashara yako Google Map (Google business Profile) Ili watu wakitafuta bidhaa au bidhaa unayoitoa basi wakuone google yaani waone website, namba za simu, unapatikana wapi(Google map), mitandao ya kijamii etc. Wengi imekuwa ikiwasumbua, sasa hapa nimeelezea in

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Idadi ya watumiaji wa internet hapa Tanzania inazidi kuongezeka kila kukicha. Report kutoka TCRA ya robo ya mwaka inayoishia Machi 2026 inasema, Watumiaji wa internet wamefika 58.9 Million ukilinganisha na report ya mwaka jana December ambapo watumiaji walikuwa 58.1 Million.

Idadi ya watumiaji wa internet hapa Tanzania inazidi kuongezeka kila kukicha. 

Report kutoka TCRA ya robo ya mwaka inayoishia Machi 2026 inasema, 

Watumiaji wa internet wamefika 58.9 Million ukilinganisha na report ya mwaka jana December ambapo watumiaji walikuwa 58.1 Million.
HZ (@hzmnkai) 's Twitter Profile Photo

Gemini + Flow AI + Canva = Video Tumia AI vema katika kazi zako kila siku. Kabla ya yote USITUMIE DAWA KIHOLELA Tumia dawa kwa maelekezo ya wataalamu wa Afya. Fika Hospitali kwanza , Usinifanye wewe Mbobezi. Tuendelee sasa na : 👇🏾🧵

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Huu ni moja ya ujumbe unaoni inspire sana kila nikiamka. Ujue kuna watu wengine wanaweza kuwa wanakuambia hili huwezi kulifanya, acha hili fanya lile. Hili huwezi kutoboa kwa dizaini hii, ushauri kibao. Ila ukijikubali na ukafuata yale unayoona kwako ni sahihi kutoboa ni nje

Huu ni moja ya ujumbe unaoni inspire sana kila nikiamka. Ujue kuna watu wengine wanaweza kuwa wanakuambia hili huwezi kulifanya, acha hili fanya lile. 

Hili huwezi kutoboa kwa dizaini hii, ushauri kibao. 

Ila ukijikubali na ukafuata yale unayoona kwako ni sahihi kutoboa ni nje
Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Chapter one ya hiki kitabu mwandishi anasema - Ikiwa umefika hatua ambayo huioni kesho yako, mambo yamekuwa magumu, unaona giza, huelewi ufanyeje Basi fanya uwezalo angalau upate chochote halafu akaanza kushuka madini ya nini ufanye 🫵 Motivation alone won't pay bills.

Chapter one ya hiki kitabu mwandishi anasema - Ikiwa umefika hatua ambayo huioni kesho yako, mambo yamekuwa magumu, unaona giza, huelewi ufanyeje

Basi fanya uwezalo angalau upate chochote halafu akaanza kushuka madini ya nini ufanye 🫵

Motivation alone won't pay bills.
Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Njooni kwangu ninyi nyote mnaohitaji Canva na Capcut Pro Canva Pro kwa Mwezi = 5000 Miezi 3 = 10,000 Mwaka = 40,000 NB: Haina kubadili Team kila mwezi, ukinunua umemaliza. Capcut Pro kwa Mwezi = 8,000 WhatsApp 👉🏻gqr.sh/kd96

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu unaweza ukawa huwakubali, hata mishe zao unaona miyeyusho. Ila ukicheki hustle yao kuna kitu unajifunza. Mfano wale watu FX ile hustle yao ukiichukua ukaweka kwa business yako lazima u feel the difference. Usichukulie kila kitu NEGATIVE.

Anthony Charles (@anthonchaz) 's Twitter Profile Photo

Kati ya vitu sielewagi ni elimu ya uwekezaji wa HISA. We niambie kampuni gani nzuri kuwekeza nianze kutupia vijisent vyangu basi. Maelezo meengi!