ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile
ANOLD MEDIA

@anoldmediatz

NEWS | SPORTS | ENTERTAINMENTS | TRENDINGS

ID: 1566348830328725504

calendar_today04-09-2022 08:54:16

449 Tweet

700 Followers

79 Following

ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa imesalia miezi miwili pekee kuumaliza mwaka, mipango uliyopanga umebakisha asilimia ngapi kukamilisha? #anoldmediaupdates #life #ebundle

Ikiwa imesalia miezi miwili pekee kuumaliza mwaka, mipango uliyopanga umebakisha asilimia ngapi kukamilisha?

#anoldmediaupdates 
#life 
#ebundle
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ligi mbalimbali zinaendelea siku ya leo kwenye viwanja tofauti tofauti, Pale kwenye Ligi kuu ya England maarufu kama EPL kwenye dimba la Old Trafford klabu ya #manchesterunited watakuwa nyumbani kuwakaribisha #brightonandhovealbionfc majira ya saa 19:30 (kwa saa za Afrika

Ikiwa ligi mbalimbali zinaendelea siku ya leo kwenye viwanja tofauti tofauti, Pale kwenye Ligi kuu ya England maarufu kama EPL kwenye dimba la Old Trafford klabu ya #manchesterunited watakuwa nyumbani kuwakaribisha #brightonandhovealbionfc majira ya saa 19:30 (kwa saa za Afrika
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ni siku ya saba na Muumba mbingu na ardhi aloitumia kupumzika, uongozi wa ANOLD MEDIA unakutakia heri na baraka tele wewe na familia yako kwenye siku hii ya Sabato. Kut 20:8-11 "Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya

Ikiwa ni siku ya saba na Muumba mbingu na ardhi aloitumia kupumzika, uongozi wa <a href="/anoldmedia/">ANOLD MEDIA</a> unakutakia heri na baraka tele wewe na familia yako kwenye siku hii ya Sabato.

Kut 20:8-11

"Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ushindi wa 5 - 1 dhidi ya Asante Kotoko siku ya jana klabu ya Wydad Casablanca imefanikiwa kuingia hatua za makundi kombe la shirikisho kwa jumla ya ushindi wa 6 - 1. Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki amehusika kwenye ushindi huo kwa kupachika bao moja

Baada ya ushindi wa 5 - 1 dhidi ya Asante Kotoko siku ya jana klabu ya Wydad Casablanca imefanikiwa kuingia hatua za makundi kombe la shirikisho kwa jumla ya ushindi wa 6 - 1. 

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki amehusika kwenye ushindi huo kwa kupachika bao moja
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mfanyabiashara maarufu Niffer, ambaye taarifa za Kuchukuliwa na watu wasiojulikana zilienea mitandaoni leo, amebainika kuwa amekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, si watu wasiojulikana kama ilivyoripotiwa awali. Kamanda Jumanne Muliro amethibitisha kuwa

Mfanyabiashara maarufu Niffer, ambaye taarifa za Kuchukuliwa na watu wasiojulikana zilienea mitandaoni leo, amebainika kuwa amekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, si watu wasiojulikana kama ilivyoripotiwa awali.

 Kamanda Jumanne Muliro amethibitisha kuwa
Young Africans SC English (@youngafricansen) 's Twitter Profile Photo

CAF Champions League group stage: #Wananchi are drawn in Group B. πŸ”°πŸ’ͺ🏽 #TotalEnergiesCAFCL #TheCluAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko

CAF Champions League group stage: #Wananchi are drawn in Group B. πŸ”°πŸ’ͺ🏽 #TotalEnergiesCAFCL

#TheCluAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Sote tunasikiliza muziki kwa sababu tofauti tofauti. Kuna wanaousikiliza muziki wanapokuwa na mawazo au msongo wa akili (stress), na kupitia midundo na maneno, akili inatulia na kujisikia sawa. πŸ‘‰ Ni app gani ipo kwenye simu yako unayotumia kusikiliza muziki mara nyingi? 🎢

Sote tunasikiliza muziki kwa sababu tofauti tofauti.
Kuna wanaousikiliza muziki wanapokuwa na mawazo au msongo wa akili (stress), na kupitia midundo na maneno, akili inatulia na kujisikia sawa.
 
πŸ‘‰ Ni app gani ipo kwenye simu yako unayotumia kusikiliza muziki mara nyingi? 🎢
Cyber Security News (@the_cyber_news) 's Twitter Profile Photo

πŸ‘ Google Now Allows Users to Change Their Gmail[.]com Email Address Source: cybersecuritynews.com/change-gmail-a… For years, one of the most persistent frustrations for Google users has been the inability to alter their primary email address without creating an entirely new account.

πŸ‘ Google Now Allows Users to Change Their <a href="/gmail/">Gmail</a>[.]com Email Address 

Source: cybersecuritynews.com/change-gmail-a…

For years, one of the most persistent frustrations for Google users has been the inability to alter their primary email address without creating an entirely new account.
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Kila siku mamilioni ya watu wanapost picha na video… lakini hakuna hata siku app imewahi kusema imejaa. πŸ‘‰ Data zote zinaenda wapi? πŸ‘‰ Hizi kampuni zina storage isiyoisha?

Kila siku mamilioni ya watu wanapost picha na video…
lakini hakuna hata siku app imewahi kusema imejaa.
πŸ‘‰ Data zote zinaenda wapi?
πŸ‘‰ Hizi kampuni zina storage isiyoisha?
ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Kuna muhindi mmoja hapa kitaa ana Hardware 😁 huyu bhana yeye pesa Yako hapokei mkononi ukimpa anakwambia weka mezani hapo kisha unasepa 😁Ila imani Daah

ANOLD MEDIA (@anoldmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mechi ya NBC PL πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kati ya wenyeji TRA UTD dhidi ya Simba Sc imeahirishwa kutokana na uwanja wa Sheikh Amri Abeid 🏟️ kujaa maji.