anold (@anold255) 's Twitter Profile
anold

@anold255

being outsider isn't for everyone ๐Ÿ™ƒ

ID: 1484742373397704709

calendar_today22-01-2022 04:19:38

8,8K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Esi Lovey Sebastian (@esilovey) 's Twitter Profile Photo

Asikudanganye Mtu, Pesa Haina Kelele, watu wanaoshout wana pesa, sijui mimi tajiri, kupost mikwanja hapa na pale wengi ni Pangu Patupu Tia Mchuzi, Real Money doesn't scream.. it is Felt, Seen and adorned... zingine hekaheka tuu.. tufanye shengesha na siku ziende!

Imani Henrick Luvanga (@imaniluvanga) 's Twitter Profile Photo

Labda ni wakosaji kweli.. Labda ni wahuni kweli Labda ni walevi kweli. Labda ni hawajali kweli. Na labda nyingine nyingi unazoweza kuongeza. Ila Mwanaume ni mwanaume. Hakuna dunia salama bila nguvu za mwanaume. Tumeona Kariakoo.

Labda ni wakosaji kweli..
Labda ni wahuni kweli
Labda ni walevi kweli.
Labda ni hawajali kweli.

Na labda nyingine nyingi unazoweza kuongeza.

Ila Mwanaume ni mwanaume. Hakuna dunia salama bila nguvu za mwanaume. Tumeona Kariakoo.
Dr. Mishy๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2025 Roll call Tanzania! ๐Ÿ—ฃ๏ธYes Sir. Qualified. Uganda ! Yes Sir. Qualified Kenya! No Sir. But we speak English. Good morning ๐Ÿ˜‚

mimilicious๐ŸŒน๐Ÿ’ (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Hii imekuaje? Oryx ni muwekezaji wa kigeni tena wa muda mrefu anakandamizwa kihaki na oilcom Oryx amekuwepo hapa muda mrefu na kutengeneza ajira zaidi ya700 kwa WaTanzania leo ananyimwa haki yake Hii itaenda kuharibu taswira ya wawekezaji wa kigeni na vipi kuhusu ajira za watu?