DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile
DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@ankochoka

FATHER | MDAU WA BURUDANI.
Call/WhatsApp: 0658 164282

ID: 1765062723388547072

linkhttps://www.youtube.com/@ankochoka/videos calendar_today05-03-2024 17:12:42

517 Tweet

62 Followers

166 Following

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

PUMZIKA KWA AMANI KAKA YANGU SEBO πŸ•ŠοΈ Poleni sana familia yangu ya E Digital na @tvetanzania kwa Msiba huu mzigo uliowafikia, tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu πŸ™ Pole kaka yangu Francis Anthony Ciza

PUMZIKA KWA AMANI KAKA YANGU SEBO πŸ•ŠοΈ

Poleni sana familia yangu ya E Digital na @tvetanzania kwa Msiba huu mzigo uliowafikia, tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu πŸ™

Pole kaka yangu Francis Anthony Ciza
DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

1. SERATO RANE 4 - Million 5.5 2. SERATO RANE 1 - Million 4.5 3. PIONEER DDJ-REV 5 with BAG - 4.5 TOA ORDER yako sasa ya mashine unayoitaka WhatsApp +46 70 888 55 76 KWA MAWASILIANO ZAIDI YA KUONA MASHINE ZILIZOPO PIGA SIMU +255 658 164282

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

NEW VIDEO: ARTIST: Bando Tz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ft. @staminashorwebwenzi πŸ‡ΉπŸ‡Ώ & @dawaystar πŸ‡ΉπŸ‡Ώ SONG: #SALIO 𝐅𝐔𝐋𝐋 VIDEO 𝐎𝐍 π˜πŽπ”π“π”ππ„ AND ALL DIGITAL PLATFORM: youtu.be/mPgvqo7xpFg?si… #SupportedByDJChoka πŸ’ͺ #MdauWaBURUDANI #AnkoCHOKA #DJChoka

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

50 CENT vs T.I. πŸ”₯πŸ”₯ TWO LEGENDS ONE ERA. The 2000s defined modern HIP-HOP β€” but who really RAN IT? This mix puts T.I. and 50 Cent head-to-head in a back-to-back hit battle featuring their biggest anthems from the 2000s era. FULL AUDIO LINK youtu.be/i-8rPAXHfvc

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

KAENI TAYARI KWA UJIO WA ALBUM MPYA YA @ukooflani_ndiohii πŸ”₯πŸ”₯ Furaha yangu leo Iko poa sana kukutana na kaka zangu Hawa kutoka Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ #UkooFlani tulipokutana SINZA na kupiga story mbili tatu kuhusu UJIO wa album Yao mpya walioipa jina la UKOO FLANI NDIO HII. #DJChoka

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya muziki imejengwa na wengi lakini #DJCHOKA DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ jina lake lipo zaidi ya miaka 20 katika game, Leo @showtimerfa ya Radio Free Africa tunampa heshima na maua yake kuanzia 2pm - 4pm HOSTED: Franckie Tower na @adamjerome_ ARTWORK: Kanza Graphix #SupportedByDJChoka

Barabara ya muziki imejengwa na wengi lakini #DJCHOKA DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ jina lake lipo zaidi ya miaka 20 katika game, Leo @showtimerfa ya Radio Free Africa tunampa heshima na maua yake kuanzia 2pm - 4pm

HOSTED: Franckie Tower na @adamjerome_
ARTWORK: Kanza Graphix

#SupportedByDJChoka
DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

NEW VIDEO: ARTIST: Christianbella πŸ‡ΉπŸ‡Ώ SONG: #MOTEMA 𝐅𝐔𝐋𝐋 VIDEO 𝐎𝐍 π˜πŽπ”π“π”ππ„ AND ALL DIGITAL PLATFORM: youtu.be/mlDJe0HFshg?si… Cc christian bella #SupportedByDJChoka πŸ’ͺ #MdauWaBURUDANI #AnkoCHOKA #DJChoka

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

UKOOFLANI NDIO HII Album is loading 2026 mziki mnene πŸŽΆπŸŽ΅πŸ’― BUY TICKETS for Album Launch tikohub.com/events/482

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

NEW VIDEO: ARTIST: Jaymoe Mchopanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ SONG: TUKUSA 3Vii. 𝐅𝐔𝐋𝐋 VIDEO 𝐎𝐍 π˜πŽπ”π“π”ππ„ AND ALL DIGITAL PLATFORM: youtu.be/bjgpILoCNHk?si… Producer Tukusa_Clan βš”οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ . #SupportedByDJChoka #MdauWaBURUDANI #AnkoCHOKA #DJChoka

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

NEW VIDEO: ARTIST: Khaligraph Jones πŸ‡°πŸ‡ͺ x BENSOUL πŸ‡°πŸ‡ͺ SONG: HALLELUJAH (Wash Wash). 𝐅𝐔𝐋𝐋 VIDEO 𝐎𝐍 π˜πŽπ”π“π”ππ„ AND ALL DIGITAL PLATFORM: youtu.be/mflaejVitYI?si… #SupportedByDJChoka

DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

MOVIE'S HIZI ZOTE NA NYINGINE NYINGI UTAZIPATA KWENYE GROUP LETU LA TELEGRAM KWA KIINGILIO CHA ELFU TANO (5,000/=) UTAWEZA KUZI-DOWNLOAD NA KUBAKI NAZO KWENYE SIMU NA LAPTOP. NJOO DM TELEGRAM KWA NAMBA +255 658 164282 WhatsApp Update CHANNEL Link whatsapp.com/channel/0029Va…

MOVIE'S HIZI ZOTE NA NYINGINE NYINGI UTAZIPATA KWENYE GROUP LETU LA TELEGRAM KWA KIINGILIO CHA ELFU TANO (5,000/=) UTAWEZA KUZI-DOWNLOAD NA KUBAKI NAZO KWENYE SIMU NA LAPTOP.

NJOO DM TELEGRAM KWA NAMBA +255 658 164282

WhatsApp Update CHANNEL Link whatsapp.com/channel/0029Va…
DJ CHOKA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ankochoka) 's Twitter Profile Photo

Haijalishi Umeshakamilisha Mwendo Mrefu Kiasi Gani, Pale Unapoanza Kukutana Na Ugumu Ndio Mwanzo Wa Safari Yenyewe. Hiyo Ndio Tofauti Kati Ya Mwanzo Na Mahala Pa Kuanzia ✍️ #DJChoka #RomboBOY #AnkoCHOKA #MdauWaBURUDANI

Haijalishi Umeshakamilisha Mwendo Mrefu Kiasi Gani, Pale Unapoanza Kukutana Na Ugumu Ndio Mwanzo Wa Safari Yenyewe. Hiyo Ndio Tofauti Kati Ya Mwanzo Na Mahala Pa Kuanzia ✍️

#DJChoka
#RomboBOY
#AnkoCHOKA
#MdauWaBURUDANI