Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile
Ananilea Nkya (PhD)

@ananilean

Human Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012

ID: 1236994171979825153

calendar_today09-03-2020 12:36:58

2,2K Tweet

67,67K Takipçi

398 Takip Edilen

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Watanzania TUMEAIBIKA duniani kufuatia raia wa Uganda Agather Atuhaire kudai amebakwa akiwa mikononi mwa vyombo vya usalama nchini kwetu.Agather alishikiliwa na vyombo hivyo wiki iliyopita alipoingia nchini kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili Lissu.