profile-img
Aman Martins | Champ

@amanimkagulu

Marketing Manager; Creative

calendar_today08-12-2015 10:26:56

1,7K Tweets

2,5K Followers

204 Following

Aman Martins | Champ(@amanimkagulu) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru kwa nafasi ya kuchangia mada hii hapa jukwaani.

Suala la ajira na mitandao ni pana na mtambuka, nina hakika mawazo na ujuzi wangu havitoshi na wakati mwingine vyaweza kurekebishwa. Natarajia kujifunza pia kutokana na maswali na michango ya wengine.

Karibuni

Nashukuru kwa nafasi ya kuchangia mada hii hapa jukwaani. Suala la ajira na mitandao ni pana na mtambuka, nina hakika mawazo na ujuzi wangu havitoshi na wakati mwingine vyaweza kurekebishwa. Natarajia kujifunza pia kutokana na maswali na michango ya wengine. Karibuni
account_circle