Labile 12 (@almumtaz_21) 's Twitter Profile
Labile 12

@almumtaz_21

Yaa Allah We Remember You๐Ÿ™ Simba Sports club fans ๐Ÿฆ

ID: 1723326173105496066

calendar_today11-11-2023 13:06:14

31,31K Tweet

2,2K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Ponjoro kwa kumwaga mamilioni ya Pesa Amepita Kinondoni. Nawaomba ndugu wajumbe wa ACT Wazalendo kinondoni wanirudishe, Najiona kabisa nashinda Alfajiri na Mapema. Hakuna Mwanakinondoni anayemtaka huyu Mkamalia.

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Huwezi Kuwa na Miaka 37 ukawa Mchezaji bora, Tuseme Ukweli Zimbwe ni Mchezaji wa Kawaida sana hapa wamepigwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Huwezi Kuwa na Miaka 37 ukawa Mchezaji bora, Tuseme Ukweli Zimbwe ni Mchezaji wa Kawaida sana hapa wamepigwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
narrow_bee_fly (@narrowbeefly) 's Twitter Profile Photo

Skia kwanza; 1: Umezaliwa Bongo 1 bila 2:First born kwenu, 2 bila 3;ukasomea na Ualimu 3 bila 4;Ukaoa single maza 4 bila JITATHMINI ๐Ÿ˜

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡ โžก๏ธ Kiungo Mshambuliaji Joshua Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ anaweza akaondoka Simba Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupisha nafasi ya kiungo mkabaji. Simba inataka kuongeza kiungo mkabaji wa kigeni kama watafikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa Mutale. โณ Talks Underway.

๐Ÿšจ ๐Ÿ’ฃ UPDATES ๐Ÿ‘‡

โžก๏ธ Kiungo Mshambuliaji Joshua Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ anaweza akaondoka Simba Sc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupisha nafasi ya kiungo mkabaji.

Simba inataka kuongeza kiungo mkabaji wa kigeni kama watafikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa Mutale.

โณ Talks Underway.
Extreme introvert ๐Ÿคฆ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿ’ซ (@sincerelyrahma_) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda hadi najiulizaga hivi ni mimi ndo nina shida au watu wanaoniona mi nina shida wao ndo wana shida?! Coz as far as my research goes watu ninaoelewana nao wengi wako super smart kuliko wanaonichukia๐Ÿ˜น, What does this mean?!

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatoa pole kwa familia, wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi, watumishi wa Bunge na Wabunge wote aliotumikia nao akiwa Spika wa Bunge letu,

MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

Wiki kadhaa kabla ya Spika wa Bunge kuachia ngazi kulikuwa na drama za kutosha baina yake na rais Mmoja akiamka anasema hili mwingine anasema lile Nimekusogezea mkanda mzima Video Thread

Wiki kadhaa kabla ya Spika wa Bunge kuachia ngazi kulikuwa na drama za kutosha baina yake na rais  
      Mmoja akiamka anasema hili mwingine anasema lile

Nimekusogezea mkanda mzima

Video Thread
Mzee wa Chuki ๐Ÿคฌ (@papiikhan98) 's Twitter Profile Photo

Demu unamtongoza hakujibu kama amekataa au amekubali anajichekesha tu...Yani hiyo amekufanya plan B siku yakimshinda huko arudi kwako...Yani sitaki demu wa hivi.๐Ÿ–•๐Ÿ–•๐Ÿ–•๐Ÿ–•๐Ÿ–•