mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile
mwarizoMagoma

@allykhany

0719493899

ID: 3233739808

calendar_today04-05-2015 15:55:53

140 Tweet

83 Followers

346 Following

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

*1 Wakorintho 6:18-19* [18]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ู…ุง ุชุฑุงู‡ ุฃู†ุช ุจู„ุง ู‚ูŠู…ุฉุŒ ู‚ุฏ ูŠูƒูˆู† ุทูˆู‚ ุงู„ู†ุฌุงุฉ ู„ุบูŠุฑูƒ. Kile unachokiona hakina thamani, huenda kikamuokoa mwingine na kumfanya aendelee kuishi. _Swabahal khayr_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ู„ูˆู„ุง ุงู„ุธุฑูˆู ุงู„ุณูŠุฆุฉ ู„ุจู‚ูŠู†ุง ู†ุธู† ุจุฃู† ุฌู…ูŠุน ู…ู† ุญูˆู„ู†ุง ุณู†ุฏ. Lau kama tusingepitia vipindi vigumu, tungeendelea kuamini kwamba wote wanaotuzunguka wana msaada kwetu. _Sabahal khayr_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ุญุจุงู„ ุงู„ูˆุฏ ู„ุง ุชู‚ุทุนู‡ุง ุงู„ุณูƒุงูƒูŠู†ุŒ ูˆู„ูƒู† ุชู‚ุทุนู‡ุง ุงู„ุธู†ูˆู†. *Kamba ya upendo haiwezi kukatwa kwa visu, lakini hukatwa kwa dhana.* _Masaa al khayr_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ุฅู†ู‘ ุงู„ู„ู‡ูŽ ูŠูุชุญู ู„ู†ุง ููŠ ูƒู„ู‘ ู…ุฑุญู„ุฉ ู…ู† ุนูู…ุฑู†ุง ู…ุง ูŠู†ุงุณุจู‡ุง ู…ู† ุฃุจูˆุงุจู ุงู„ุฑุฒู‚ุŒ ูุงุทู…ุฆู†. Umri wetu kila unavyopiga hatua mbele, Mwenyezi Mungu hutufungulia milango ya rizki iliyo sahihi (kutokana na umri tulionao). Basi tulia (usiwe na hofu kuhusu riziki yako) _#sabaahal khayr#_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ู…ู† ุฃุณุฑุงุฑ ุงู„ุณุนุงุฏุฉ: ุฃู† ูŠุชุฐูƒุฑ ุงู„ุฅู†ุณุงู† ู…ุง ู„ุฏูŠู‡ ู…ู† ู†ูุนู… ู‚ุจู„ ุฃู† ูŠุชุฐูƒุฑ ู…ุง ู„ุฏูŠู‡ ู…ู† ู‡ู…ูˆู…. Miongoni mwa siri za mtu kuwa na furaha ni kuzikumbuka neema alizonazo kabla ya kukumbuka huzuni aliyonayo. _#sabaahul khayr#_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ุฅู† ู„ู… ูŠูƒู† ุจูŠู† ุงู„ู‚ู„ูˆุจ ุชู‚ุงุฑุจูŒุŒ ูุชู‚ุงุฑุจู ุงู„ุฃุจุฏุงู† ู„ูŠุณ ุจู†ุงูุน. Ikiwa mioyo haina ukaribu, basi ukaribu wa miili hauna faida yoyote. _#sabahal khayr#_

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ุฅุฐุง ุฃุฑุฏุช ุฃู† ู„ุง ุชู†ุฏู… ุนู„ู‰ ุดูŠุกุŒ ูุงูุนู„ ูƒู„ ุดูŠุก ู„ูˆุฌู‡ ุงู„ู„ู‡. Ukitaka usijute juu ya jambo lolote, fanya kila kitu kwa ajili ya Allah

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

ุฑุจู…ุง ุณุชุญุชุงุฌ ุฅู„ู‰ ู…ู† ู‡ูˆ ุฃู‚ู„ ู…ู†ูƒ ุดุฃู†ู‹ุง ู„ูŠุฎุฑุฌูƒ ู…ู† ุงู„ูˆุญู„ ุงู„ุฐูŠ ุฃู†ุช ููŠู‡. ูู„ุง ุชุชูƒุจุฑ. Huenda kuna siku utahitaji msaada wa mtu ambaye ni mdogo kwako kiumri, umbo, pesa, cheo n.k, ili akutoe kwenye tope ambalo umenasa. Kwenye maisha usiwe na kiburi. sabahalkhayr

mwarizoMagoma (@allykhany) 's Twitter Profile Photo

Na kama utapewa majaribu ya kuchelewa kukipata kile unachokitamani, basi kuwa na subira ili Allah akupe zaidi ya kile ulichokitaka