Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) (@alikimara) 's Twitter Profile
Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)

@alikimara

Our purpose is to raise awareness and advocate for the consideration and inclusion of children living with the rare diseases in health and education systems.

ID: 3556485735

calendar_today05-09-2015 15:03:32

1,1K Tweet

1,1K Followers

241 Following

Lupus Warriors Tanzania (@lupuswarriorstz) 's Twitter Profile Photo

Rare Disease Day is an important opportunity to raise awareness about rare diseases and their impact on patients' lives #LightUpForRare

Rare Disease Day is an important opportunity to raise awareness about rare diseases and their impact on patients' lives #LightUpForRare
Raphael Mallaba πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¬πŸ‡§ (@mallabaofficial) 's Twitter Profile Photo

Currently, there are no established therapies for most of the RDs in Tanzania and for those with treatment, it is normally obtained from other countries, and it is generally expensive and out of reach for many patients. #RareDiseaseDay #ElimikaWikiendi Rare Disease Day

Raphael Mallaba πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¬πŸ‡§ (@mallabaofficial) 's Twitter Profile Photo

In Tanzania, management and care of patients with #RareDisease result in unbearable financial burden particularly to the families and close relatives. It has been noted that the health insurance schemes currently operating in Tanzania do not or partially support patients with RDs

Raphael Mallaba πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¬πŸ‡§ (@mallabaofficial) 's Twitter Profile Photo

In order to improve the quality of lives of children/individuals with #RareDisease in Tanzania, increased public awareness and engagement are urgently needed together with appropriate policies, and treatment and supportive care systems.

Raphael Mallaba πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¬πŸ‡§ (@mallabaofficial) 's Twitter Profile Photo

This calls for an urgent need to utilise different platforms and forums such as the commemoration of rare diseases day to engage different stakeholders including the government to raise awareness. #ElimikaWikiendi #RareDiseaseDay #RareDiseaseDay2023

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Kongole na asante ziwafikie wadau wote mliotenga muda wenu kwa ajili ya kushiriki #ElimikaWikiendi ya leo kikamilifu. Tunakutakia wikiendi mujarabu wewe na familia yako!

Kongole na asante ziwafikie wadau wote mliotenga muda wenu kwa ajili ya kushiriki #ElimikaWikiendi ya leo kikamilifu.

Tunakutakia wikiendi mujarabu wewe na familia yako!
Tanzania Human Genetics Organization (@humangeneticstz) 's Twitter Profile Photo

2nd THGO CONFERENCE Dr. Daima Bukini led a panel discussion with #RareDiseases warriors who shared their experiences accessing medical care in #Tanzania. #THGO2023 #HumanGenetics #HumanGeneticsTz #THGO2ndConference

2nd THGO CONFERENCE

Dr. Daima Bukini led a panel discussion with #RareDiseases warriors who shared their experiences accessing medical care in #Tanzania.

#THGO2023
#HumanGenetics #HumanGeneticsTz #THGO2ndConference
Tanzania Human Genetics Organization (@humangeneticstz) 's Twitter Profile Photo

In the first picture from lef are Ms. Arafa Said of SCPCT, Ms. Fidelis Usio of Epilepsy organization of Tanzania, Dr. Daima Bukini, en expert of ELSI and Ms. Hajrrath Mohammed of Lupus Awareness and Support Foundation (LASF)

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na #UgonjwaAdimu kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF). Leo tunapoadhimisha #RareDiseaseDay2024 tunajivunia pamoja na Ali

Namshukuru Ali Kimara, mtoto anayeishi na #UgonjwaAdimu kwa kunifundisha somo la matumaini. Sababu ya Ali nilijiunga na harakati za kupigania maslahi ya wanaoishi na magonjwa adimu kupitia taasisi ya Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF).

Leo tunapoadhimisha #RareDiseaseDay2024 tunajivunia pamoja na Ali
Tanzania Human Genetics Organization (@humangeneticstz) 's Twitter Profile Photo

Tunaendelea kutoa elimu juu ya #MagonjwaAdimu "Sisi kama ulimwengu, tunaona ni adimu, lakini kwa wanafamilia wenye mtoto mwenye ugonjwa adimu, wanaona ni ulimwengu mzima uko pale ....." Prof. Manji, MUHAS. Tazama zaidi: youtu.be/Xgakm6jd4gM?si… #RareDiseases #THGO #MUHAS

Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) (@alikimara) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya AKRDF & MUHAS Muhimbili University tumeungana kuadhimisha Siku ya Magonjwa Adimu tarehe 29 Februari, saa 1 jioni. Taa za matumaini ziliwaka katika jengo la MUHAS, ikiwa ni ishara ya dhamira yetu ya kuendelea kushirikiana kuleta mwangaza kwenye utafiti wa magonjwa adimu.

Sharifa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@sharifambarak1) 's Twitter Profile Photo

Kwa waathirika wa #magonjwaadimu na familia zao, hii ni siku adhimu. Kumbukeni, mmepata majaribu haya, lakini hamkujichagulia, mmechaguliwa. Mmekuwa mashujaa katika safari hii. Nawaombea wale wote walioondokewa na wapendwa wao kutokana na magonjwa adimu.

Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha University of Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa @TanzaniaInKorea jana. Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha University of Dar es Salaam, Prof.  Bernadeta Killian na ujumbe wake, wamekutana na watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walioko masomoni nchini Korea katika Ubalozi wa @TanzaniaInKorea jana.

Ubalozi ulifarijika kuwaunganisha na kuwa sehemu ya mkutano
C L E M E N T 🦁🏷️ (@venant_clement) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Kusherehekea siku yako ya Mfanano wa kuzaliwa Mdogo wangu Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) , Mwenyezi Mungu Akupe Miaka Mingi Na Kheri Duniani. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao Maisha yao hapa Duniani yamejaa hadithi nzuri sana inayoweza kusimuliwa kwa kila rika.

Kheri ya Kusherehekea siku yako ya Mfanano wa kuzaliwa Mdogo wangu Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) ,

Mwenyezi Mungu Akupe Miaka Mingi Na Kheri Duniani.

Wewe ni mmoja kati ya watu ambao Maisha yao hapa Duniani yamejaa hadithi nzuri sana inayoweza kusimuliwa kwa kila rika.
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Sharifa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) ni kielezo cha nguvu ya matumaini, subira na imani katika maisha. Maisha yako ni sauti na alama ya mapambano ya wahanga wa #RareDiseases. Kupitia harakati zako, leo watoto wenye #RareDiseases wanasajiliwa na kuruhusiwa kusomea elimu yao wakiwa nyumbani. Heri ya siku

Sharifa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF)  ni kielezo cha nguvu ya matumaini, subira na imani katika maisha. Maisha yako ni sauti na alama ya mapambano ya wahanga wa #RareDiseases. Kupitia harakati zako, leo watoto wenye #RareDiseases wanasajiliwa na kuruhusiwa kusomea  elimu yao wakiwa nyumbani. Heri ya siku
Togolani Mavura (@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya mazungumzo na Wataalam kutoka Dohwa Engineering Co. Ltd wanaojiandaa kwenda nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Zanzibar. Upembuzi yakinifu huo unafadhiliwa na Korea Cooperative Supporting Centre for Overseas Port

Nimefanya mazungumzo na Wataalam kutoka Dohwa Engineering Co. Ltd wanaojiandaa kwenda nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Zanzibar.

Upembuzi yakinifu huo unafadhiliwa na Korea Cooperative Supporting Centre for Overseas Port