Adv. Alice Mihayo (@alice_mihayo) 's Twitter Profile
Adv. Alice Mihayo

@alice_mihayo

|Advocate|Notary Public| Commissioner for Oaths
*Entrepreneur*
Founder of Cerex Investment Tz
Proudly Tanzanian - 🇹🇿
[email protected]

ID: 1502189359440842756

calendar_today11-03-2022 07:47:37

28 Tweet

7 Takipçi

9 Takip Edilen

Adv. Alice Mihayo (@alice_mihayo) 's Twitter Profile Photo

Every morning, an antelope wakes up, It knows it must outrun the fastest lion, or it will be eliminated. Every morning, a lion wakes up. It knows it must run faster than the slowest antelope, or it will starve.

Kwenye kila kitu kuna historia na ipo thamani "value" fulani ndani yake."hakuna kisicho na thamani" unaweza usiione ila tambua ipo!Unapothubutu kubeba kitu/kuwa nacho/kumiliki- iwe kwa kupewa ama kwa kununua zingatia "historia na thamani" na uwe tayari kulipa gharama.

Adv. Alice Mihayo (@alice_mihayo) 's Twitter Profile Photo

Safari ya mafanikio ina maumivu mengi, watu wengi wameumizwa na mengi unapobahatika kusaidiwa na mtu aliefanikiwa heshimu sana alichokifanya "ni neema tu", wengi waliofanikwa wanaishi na majeraha/maumivu ya matendo ya watu ambayo yalimaliza nguvu na utu wa kusaidia wengine.

Adv. Alice Mihayo (@alice_mihayo) 's Twitter Profile Photo

"Mpende jirani yako kama nafsi yako" Utaratibu ni kujipenda mwenyewe kwanza! Si rahisi kupata nguvu ya kumpenda mtu mwingine ikiwa wewe mwenyewe hujipendi.