Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile
Hope For New Coming Tanzania

@alfredkohi

It is all about the Coming of Messiah.
REPENTANCE & HOLINESS.

Faceb/Tikt/Insta: AlfredKOHI.

Mtume alfred 0764800989

ID: 629953618

calendar_today08-07-2012 06:02:09

335 Tweet

311 Followers

2,2K Following

Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

TUBU, JITAKASE, ISHI MAISHA MATAKATIFU, halafu yote muachie yeye afanye, ATAKUSHANGAZA kila siku. MUNGU HASAIDIWI! Zaburi 113:3 Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la BWANA husifiwa.

TUBU, JITAKASE, ISHI MAISHA MATAKATIFU, halafu yote muachie yeye afanye, ATAKUSHANGAZA kila siku.
 MUNGU HASAIDIWI!

Zaburi 113:3
Toka maawio ya jua hata machweo yake 
Jina la BWANA husifiwa.
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

USIIMBE KAMA KASUKU Nimejifunza kusikiliza nyimbo za vitabuni na injili kwa kina, kujitafakari na kujihoji kama kweli ninauishi huo ujumbe wake, mara nyingi nahisi kuugua moyoni. Cha kusikitisha, wengi sana tunaimba na kuimba bila kujua maana ya nyimbo wala kuziishi #nyimbo

USIIMBE KAMA KASUKU

Nimejifunza kusikiliza nyimbo za vitabuni na injili kwa kina, kujitafakari na kujihoji kama kweli ninauishi huo ujumbe wake, mara nyingi nahisi kuugua moyoni. Cha kusikitisha, wengi sana tunaimba na kuimba bila kujua maana ya nyimbo wala kuziishi #nyimbo
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti kati ya KUKUHUKUMU na KUKUAMBIA UKWELI. Kuhukumu kunalenga kukushusha na ukiisha Hukumiwa ndio mwisho, hakuna tena mbadala wake, lakini . Kukuambia ukweli kunalenga kukuongoza, kukuonya, na kukurejesha katika mapenzi ya Mungu.

Kuna tofauti kati ya KUKUHUKUMU na KUKUAMBIA UKWELI.
Kuhukumu kunalenga kukushusha na ukiisha Hukumiwa ndio mwisho, hakuna tena mbadala wake, lakini .
Kukuambia ukweli kunalenga kukuongoza, kukuonya, na kukurejesha katika mapenzi ya Mungu.
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

UKIRIHARIBU HEKALU LA MUNGU, NAYE ANAKUHARIBU 1 Wakorintho 3:16–17 "Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.

UKIRIHARIBU HEKALU LA MUNGU, NAYE ANAKUHARIBU

1 Wakorintho 3:16–17

"Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?  
Mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

UKIONA HII INAKUSHINDA, TAMBUA KUWA HAUNA NIDHAMU, period! anza kujijengea nidhamu wa AFYA yako USILE mpaka ushibe unless kama ni matunda sawa Punguza au acha SUKARI, CHIPS, MAANDAZI, VITUMBUA, WALI, VIPOLO, UGALI, MIKATE, CHAPATI, CHUMVI, SODA, CAKE n. k UAMUZI NI WAKO...

UKIONA HII INAKUSHINDA, TAMBUA KUWA HAUNA NIDHAMU, period!
anza kujijengea nidhamu wa AFYA yako
USILE mpaka ushibe unless kama ni matunda sawa
Punguza au acha 
SUKARI, CHIPS, MAANDAZI, VITUMBUA, WALI, VIPOLO, UGALI, MIKATE, CHAPATI, CHUMVI, SODA, CAKE n. k
UAMUZI NI WAKO...
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

Sijui wewe umeamua kuingia mwaka huu na nini… Mimi Natembea Kifua Mbele katika Kristo Yesu na ahadi hii: Yohana 1:16 “Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.” #2026newyear #2026Goals

Sijui wewe umeamua kuingia mwaka huu na nini…

Mimi Natembea Kifua Mbele katika Kristo Yesu na ahadi hii:

Yohana 1:16
“Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.”
#2026newyear #2026Goals
Hope For New Coming Tanzania (@alfredkohi) 's Twitter Profile Photo

MSHUKURU BWANA, MWAMBIE ASANTE🙏 Zaburi 136:26 Mshukuruni Mungu wa mbingu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. O give thanks unto the God of heaven: for his mercy endureth for ever.

MSHUKURU BWANA, MWAMBIE ASANTE🙏

Zaburi 136:26
Mshukuruni Mungu wa mbingu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. 

O give thanks unto the God of heaven: for his mercy endureth for ever.