USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile
USHINDI NI WETU RUDISHA MALI

@alfrediaugusti2

ID: 1589265381700603904

calendar_today06-11-2022 14:37:34

1,1K Tweet

252 Followers

1,1K Following

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile Photo

Wauni mkitana na demi mkali kama huyu ukimuomba namba akakuambia Mimi mke WA mtu huwa mnafanyaje Hadi akubali maana Mimi huwa nashindwa kuendelea kutoa mistari naombeni msaada jamani huwa mnafanyaje???

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu! Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia, wanasema uongo dhidi yangu. Wanasema maovu juu yangu, na kunishambulia bila kisa. Ingawa niliwapenda, walinishtaki, hata hivyo niliwaombea dua. Wananilipa uovu kwa wema wangu, na chuki kwa mapendo

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile Photo

Free soka kuna kile kiapo wanapenda kuapaga nitailinda na sitatoa Siri ya nchi je ni kweli kutokutoa Siri ndio mauaji na utekaji na je kiapo hicho kina maana gani?

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile Photo

Huyo aliyesema yeye ndio kikosi cha chinja chinja Kwa nini asichukuliwe hatua kama kweli polisi wanaitelejensia waliweza kumkamata Yule Tu aliochoma picha ya raisi ila hawa wanaoua na kuteka na hamtoi Siri wala kuachia wanaficha wauaji kunahaja gani ya kuwa na mahakama na magerza

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile Photo

Ukimfanyia mtu ubaya mungu analipa hapa hapa duniani hatakama utaishi miaka mingi siku unakuja kufa maumivu yako yatakuwa makubwa Sana kuliko wengine

USHINDI NI WETU RUDISHA MALI (@alfrediaugusti2) 's Twitter Profile Photo

Yaani Kwa fikira zangu za haraka haraka Mimi naona Askari kamuelewa Sana huyu jamaa sema analazimisha ila jamaa anakataa kashtuka kwamba huyu siye naona amkatae