Ahmed Tundu (@ahmed_tundu) 's Twitter Profile
Ahmed Tundu

@ahmed_tundu

Content Creator | Inspiration Talk | Child Violence Activist | Human Rights Defender

ID: 1434372276837834752

calendar_today05-09-2021 04:26:35

41,41K Tweet

13,13K Followers

3,3K Following

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu (@owm_sbu) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi pamoja na Naibu Waziri wake Mhe. Ummy Nderiananga wakiwa bungeni kuhudhuria Mkutano wa 17 Kikao cha Saba leo tarehe 06 Novemba, 2024 jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi pamoja na Naibu Waziri wake Mhe. Ummy Nderiananga wakiwa bungeni kuhudhuria  Mkutano wa 17 Kikao cha Saba leo tarehe 06 Novemba, 2024 jijini Dodoma
๐€๐ฆ๐ฎ๐ญ๐ข ๐๐ฎ๐ง (@_amutiqun) 's Twitter Profile Photo

Wanafamilia Wa Masai Herbal Clinic Ni Lazima Tutambie Kuwa ili Ushike Ujauzito Cha Kwanza Kabisa Hakikisha๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ โšซUnapata siku zako kwa usahihi โšซUnapata ute wa ovulation โšซHauna Infection zozote kwenye via vya uzazi hasahasa kama: โŒFUNGUS โŒU.T.I โŒPID โŒHORMONE IMBALANCE

Wanafamilia Wa Masai Herbal Clinic Ni Lazima Tutambie Kuwa ili Ushike Ujauzito Cha Kwanza Kabisa Hakikisha๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

โšซUnapata siku zako kwa usahihi
โšซUnapata ute wa ovulation
โšซHauna Infection zozote kwenye via vya uzazi hasahasa kama:

โŒFUNGUS
โŒU.T.I
โŒPID
โŒHORMONE IMBALANCE
Veronica Pantaleo (@veronicapanta15) 's Twitter Profile Photo

Anza na Mungu..๐Ÿ™karibu sana RIKADE MICRO CREDIT SERVICES uweze kuboresha mtaji wa biashara yako leo kwa kupata Mkopo wenye riba nafuu kabisa. Usiogope Masharti ni rahisi na nafuu sana, wasiliana nasi sasa kwa namba 0745243207. Mkopo Mkopoleo

Anza na Mungu..๐Ÿ™karibu sana

RIKADE MICRO CREDIT SERVICES uweze kuboresha mtaji wa biashara yako leo kwa kupata Mkopo wenye riba nafuu kabisa. 

Usiogope Masharti ni rahisi na nafuu sana, wasiliana nasi sasa kwa namba 0745243207.

Mkopo 
Mkopoleo
KIDEVU (@keydevu) 's Twitter Profile Photo

Penda kuomba ushauri kwa mtu ambae ni fundi awe ujenzi,redio tv,sofa,umeme,garage nk,hawa jamaa wana akili za ziada ambazo wengi hatuna,wanaona hatua mbili mbele tofauti na watu wengine,wanalijua tatzo kabla halijatokea ama limetokea anakuwa keshajua limetokea vipi na tiba yake๐Ÿ™Œ

Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

โœ๐ŸปHii ni kabla ya Zuchu kuwa WCB,Mobeto kudanga kwa Master Ki na Mzize kuwa tegemezi wa Taifa Stars,sijui wewe ulikuwa wapi ili mimi tayari nilishaanza kuuwelewa na kuupenda huu mchezo pichani Hamis Tambwe na Nurdin Chona mmoja ni kocha kwa sasa na mwingine bado anakipiga NBCPL๐Ÿ™Œ

โœ๐ŸปHii ni kabla ya Zuchu kuwa WCB,Mobeto kudanga kwa Master Ki na Mzize kuwa tegemezi wa Taifa Stars,sijui wewe ulikuwa wapi ili mimi tayari nilishaanza kuuwelewa na kuupenda huu mchezo pichani Hamis Tambwe na Nurdin Chona mmoja ni kocha kwa sasa na mwingine bado anakipiga NBCPL๐Ÿ™Œ
Officialshakuu๐Ÿ‚๐Ÿ€ (@officialshakuu) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐€ ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฒ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐ญ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ, ๐Š๐Œ๐‚ ๐•๐ฌ ๐’๐ข๐ฆ๐›๐š ๐’๐œ ๐Ÿ’”๐Ÿ’” Kuna team mpaka wachome sindano ndio wanacheza vizuri Simba Sc ya Thibitisha Ilo au nyie munasemaje ๐Ÿ˜‚. ๐Ÿ“Œ๐‘ถ๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต ๐‘ป๐‘ฏ๐‘น๐‘ฌ๐‘จ๐‘ซ ๐Ÿงต & ๐‘น๐‘ฌ๐‘ท๐‘ถ๐‘บ๐‘ป ๐Ÿ™๐Ÿฟ ๐‘ต๐’. 1 ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

๐Ÿšจ๐€ ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฒ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐ญ ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ, ๐Š๐Œ๐‚ ๐•๐ฌ ๐’๐ข๐ฆ๐›๐š ๐’๐œ ๐Ÿ’”๐Ÿ’”

Kuna team mpaka wachome sindano ndio wanacheza vizuri Simba Sc ya Thibitisha Ilo au nyie munasemaje ๐Ÿ˜‚. 

๐Ÿ“Œ๐‘ถ๐‘ท๐‘ฌ๐‘ต ๐‘ป๐‘ฏ๐‘น๐‘ฌ๐‘จ๐‘ซ ๐Ÿงต & ๐‘น๐‘ฌ๐‘ท๐‘ถ๐‘บ๐‘ป ๐Ÿ™๐Ÿฟ ๐‘ต๐’. 1 ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
L E G E N D โ„  (@tweetbylegendy) 's Twitter Profile Photo

Mateso aliteswa sana na mateso ya amani Kulikuwa na kijana aliyeitwa Mateso, aliyeishi kijijini na familia yake. Tangu akiwa mdogo, jina lake lilikuwa kama alama ya maisha yake; aliishi maisha magumu, lakini aliendelea kuwa na matumaini. Alikua kijana mwenye bidii na heshima,

Mateso aliteswa sana na mateso ya amani

Kulikuwa na kijana aliyeitwa Mateso, aliyeishi kijijini na familia yake. Tangu akiwa mdogo, jina lake lilikuwa kama alama ya maisha yake; aliishi maisha magumu, lakini aliendelea kuwa na matumaini. Alikua kijana mwenye bidii na heshima,
YUSUPH (@yuzo2fa8) 's Twitter Profile Photo

Tusema ukweli tu huyu jamaa amekuja kuturahisishia sana sisi vijana ambao hatupo tayari kuwasumbua watu, kwa sababu wenyewe tunaweza kujitosheleza sio mambo ya kutuma nauli. Chief barikiwa sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

Tusema ukweli tu huyu jamaa amekuja kuturahisishia sana sisi vijana ambao hatupo tayari kuwasumbua watu, kwa sababu wenyewe tunaweza kujitosheleza sio mambo ya kutuma nauli. Chief barikiwa sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”