Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profileg
Ahmed Ally

@ahmed__ally

Media & Communication Manager Simba Sports

ID:1478356854514270208

calendar_today04-01-2022 13:25:32

1,3K Tweets

488,9K Followers

13 Following

Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Mashine ya kijerumani BMW X3 2014 imekabidhiwa

Automedali Tz Limited tunazidi kutimiza ndoto za wateja wetu

Gari ya viwango vya juu sana na gari kama hizi zinaletwa na Automedali Tz Limited pekee kwa bei nafuuu sana

Karibu nawe uagize nasi, Ofisi zetu zipo Osterbey Katika Jengo la Dar Free…

Mashine ya kijerumani BMW X3 2014 imekabidhiwa @medalimotors tunazidi kutimiza ndoto za wateja wetu Gari ya viwango vya juu sana na gari kama hizi zinaletwa na @medalimotors pekee kwa bei nafuuu sana Karibu nawe uagize nasi, Ofisi zetu zipo Osterbey Katika Jengo la Dar Free…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kazi ya Automedali Tz Limited

Tumekabidhii gari ya Kibabe Toyota Hilux 2019

Gari ya safari, gari kifahari, gari ya kitajiri, gari ngumu, gari imara

Leo tumeikabidhi gari hii kwa Mteja wetu

Karibu nawe uagize nasi Automedali Tz Limited tupigie kwa #0748898888

Hii ni kazi ya @medalimotors Tumekabidhii gari ya Kibabe Toyota Hilux 2019 Gari ya safari, gari kifahari, gari ya kitajiri, gari ngumu, gari imara Leo tumeikabidhi gari hii kwa Mteja wetu Karibu nawe uagize nasi @medalimotors tupigie kwa #0748898888
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

TUMEKABIDHI HARRIER 2008

Karibu ofisini Automedali Tz Limited tuzungumze kuhusu magari au tukuagizie gari utakalo

Tunapatikana Jijini Dar Es Salaam Osterby Barabara ya Ali Hassan Mwinyi katika jengo la Dar Es Free Market au Tupigie #0748898888

account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Chombo ya heshima Harrier 2008 imefika na kukabidhiwa kwa Mteja wetu

Hii ni gari ambayo haishuki wala kupungua hadhi yake

Sisi Automedali Tz Limited hatuagizi Harrier za kawaida kawaida tunaagiza Harrier ya viwango vya juu kama hiyo

Karibu ofisini tuzungumze kuhusu magari au…

Chombo ya heshima Harrier 2008 imefika na kukabidhiwa kwa Mteja wetu Hii ni gari ambayo haishuki wala kupungua hadhi yake Sisi @medalimotors hatuagizi Harrier za kawaida kawaida tunaagiza Harrier ya viwango vya juu kama hiyo Karibu ofisini tuzungumze kuhusu magari au…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya Kocha bora kuwahi kuwa nao Simba Sports

Haikua rahisi kumpata Mwalimu wa kaliba yake na hakuna aliyeamini kama tungemudu kuwa na kocha wa aina hiyo

Kumpata Mwalimu huyu ni ishara kuwa viongozi wetu walionesha dhamira ya dhati ya kuipeleka Simba kwenye kilele cha…

Moja kati ya Kocha bora kuwahi kuwa nao Simba Sports Haikua rahisi kumpata Mwalimu wa kaliba yake na hakuna aliyeamini kama tungemudu kuwa na kocha wa aina hiyo Kumpata Mwalimu huyu ni ishara kuwa viongozi wetu walionesha dhamira ya dhati ya kuipeleka Simba kwenye kilele cha…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine Matokeo yasiyoridhisha ya timu huwa yanafifisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja au matokeo mazuri ya timu hua yanaficha madhaifu ya mchezaji mmoja mmoja

Fredy Michael Fungafunga tangu amewasili Simba Sports amefunga jumla ya Magoli 9 katika mashindano yote…

Wakati mwingine Matokeo yasiyoridhisha ya timu huwa yanafifisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja au matokeo mazuri ya timu hua yanaficha madhaifu ya mchezaji mmoja mmoja Fredy Michael Fungafunga tangu amewasili Simba Sports amefunga jumla ya Magoli 9 katika mashindano yote…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Team Automedali Tz Limited

Sisi ndio wale wataalamu wa kuagiza magari kutoka sehemu mbalimbali duniani

Hizo ni namba za gari ambazo tumekabidhi kwa wateja wetu hii leo

Tunajivunia uaminifu na ubora wa huduma zetu

Tunatoa ushauri kuhusu Magari, tunaagiza Magari na tunapokea malipo…

Team @medalimotors Sisi ndio wale wataalamu wa kuagiza magari kutoka sehemu mbalimbali duniani Hizo ni namba za gari ambazo tumekabidhi kwa wateja wetu hii leo Tunajivunia uaminifu na ubora wa huduma zetu Tunatoa ushauri kuhusu Magari, tunaagiza Magari na tunapokea malipo…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefanya Mkutano na Wanachama na Mashabiki wa Simba Mkoani Singida

Agenda ya kwanza ilikua ni maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu na kuwataka Wana Singida kujitokeza kwa wingi Uwnajani lakini pia tupambane kuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo huo

Agenda ya pili…

Leo nimefanya Mkutano na Wanachama na Mashabiki wa Simba Mkoani Singida Agenda ya kwanza ilikua ni maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu na kuwataka Wana Singida kujitokeza kwa wingi Uwnajani lakini pia tupambane kuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo huo Agenda ya pili…
account_circle
Ahmed Ally(@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Team ya mauzo ya Automedali Tz Limited imerejea kazini hii leo baada ya kumaliza kusheherekea Eid El Fitri

Mteja wetu unaehitaji kuagiza gari kutoka nje ya Nchi karibu ofisini kwetu tukuchagulie gari utakalo

Kwa wale ambao wanahitaji gari lakini hajui aagize gari gani Automedali Tz Limited

Team ya mauzo ya @medalimotors imerejea kazini hii leo baada ya kumaliza kusheherekea Eid El Fitri Mteja wetu unaehitaji kuagiza gari kutoka nje ya Nchi karibu ofisini kwetu tukuchagulie gari utakalo Kwa wale ambao wanahitaji gari lakini hajui aagize gari gani @medalimotors…
account_circle