Shelby (@ahmada_shabani) 's Twitter Profile
Shelby

@ahmada_shabani

ID: 1608537819898593285

calendar_today29-12-2022 18:58:31

153 Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkongwe wa soka Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki leo akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu, Pele anayetajwa kuwa Mwanasoka wa kipekee kuwahi kutokea Duniani amewahi kutwaa Kombe la Dunia mara 3 akiwa na Brazil. #MillardAyoSPORTS

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni miaka miwili tangu tuondokewe na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko jema na aendelee kuwatia nguvu wanafamilia wote. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kumuenzi kwa kuendeleza mazuri aliyoyaanzisha.

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Kama upo na miaka 25+ ni Muda sasa wa....⏰ 1. Kupunguza ngano. 2. Kupunguza Sukari. 3. Kupunguza chumvi. 4. Kutoka jasho mara kwa mara, Kupitia Mazoezi 💪 5. Kuwa na mwenza unayemfurahia. 6. Kuwa na hobies angalau tatu. ↳ Inayokupa furaha. ↳ Inayokupa elimu. ↳

Kama upo na miaka 25+ ni Muda sasa wa....⏰

1. Kupunguza ngano.

2. Kupunguza Sukari.

3. Kupunguza chumvi.

4. Kutoka jasho mara kwa mara, Kupitia Mazoezi 💪

5. Kuwa na mwenza unayemfurahia.

6. Kuwa na hobies angalau tatu.

↳ Inayokupa furaha. 
↳ Inayokupa elimu. 
↳