Diplomatic Agent (@agentdiplomatic) 's Twitter Profile
Diplomatic Agent

@agentdiplomatic

Bringing countries together above their conflicts require great minds and great hearts.

ID: 1196161267729387522

calendar_today17-11-2019 20:20:57

594 Tweet

293 Takipçi

105 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Happy Birthday Vivian, and thank you for the wishes. My aides will reach out to you to schedule a meeting. I look forward to speaking with you.

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

#JamboMuhimu Tanzania haina machafuko wala matukio ya ugaidi kama inavyoripotiwa na baadhi ya taasisi/kampuni za nje ya nchi. Wananchi tulieni na endeleeni na shughuli zenu za kila siku, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo makini.

#JamboMuhimu

Tanzania haina machafuko wala matukio ya ugaidi kama inavyoripotiwa na baadhi ya taasisi/kampuni za nje ya nchi. 

Wananchi tulieni na endeleeni na shughuli zenu za kila siku, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo makini.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni miaka miwili tangu tuondokewe na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko jema na aendelee kuwatia nguvu wanafamilia wote. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kumuenzi kwa kuendeleza mazuri aliyoyaanzisha.

Nawapongeza Timu ya Wasichana ya Mpira wa Miguu ya Sekondari ya Fountain Gates Dodoma, kwa kutwaa ubingwa kwenye Mashindano ya Soka kwa Shule za Sekondari ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF African Schools Continental Champions), upande wa wasichana. (1/2)

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka. Kumbukumbu hii ya kiimani ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo iwe ya kuendelea kuliombea Taifa letu amani, umoja, upendo, mshikamano na weledi wa daraja ya juu kabisa wa kila mmoja wetu, katika kulifanya kuwa bora zaidi.

Diplomatic Agent (@agentdiplomatic) 's Twitter Profile Photo

Kwa ufahamu wangu najua kwa Sheria ya Idara inafanyiwa marekebisho ili kuboresha utendaji kazi wake. Sasa ninachokiona kwa wapinzani Serikali ni kutaka kupotosha ukweli wa sheria hiyo kwasababu ya maslahi yao binafsi ya kisiasa.

Princess Kate (@princess_mcute) 's Twitter Profile Photo

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA  TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA  TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Diplomatic Agent (@agentdiplomatic) 's Twitter Profile Photo

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing.

Rais Mhe. Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing.
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania to benefit from Italy Matei Plan- UNDP Development Partnership Tanzania Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo (MP.) participated in the UNDP High-level roundtable in Roma, Italy aiming to unlock sustainable development

Tanzania to benefit from Italy Matei Plan- UNDP Development Partnership

Tanzania Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo (MP.) participated in the UNDP High-level roundtable in Roma, Italy aiming to unlock sustainable development
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA NA MWAKILISHI WA KUDUMU KATIKA UMOJA WA AFRIKA (AU) MHE. INNOCENT SHIYO AKIZUNGUMZIA KUHUSU MAFUNZO YA WAJUMBE WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA AU YALIYOFANYIKA JIJINI ARUSHA NA KUHITIMISHWA KWA ZIARA YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

FORMER PRESIDENT KIKWETE DELIVERS SPECIAL MESSAGE FROM PRESIDENT SAMIA TO CAPE VERDE’S PRIME MINISTER March 29, 2025 PRAIA – Former President Jakaya Mrisho Kikwete has delivered a Special Message from H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania,

FORMER PRESIDENT KIKWETE DELIVERS SPECIAL MESSAGE FROM PRESIDENT SAMIA TO CAPE VERDE’S PRIME MINISTER

March 29, 2025

PRAIA – Former President Jakaya Mrisho Kikwete has delivered a Special Message from H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania,