African girls (@africangirls22) 's Twitter Profile
African girls

@africangirls22

ID: 1743269885369544705

calendar_today05-01-2024 13:55:14

29 Tweet

15 Takipçi

5 Takip Edilen

DR Charlz (@drcharless22) 's Twitter Profile Photo

📍AFYA ALERT✅ PEP (post exposure prophylaxis) Ni dawa ambayo inaweza kuchukuliwa kwa siku 28 ili kuzuia maambukizi ya VVU baada ya kushiriki ngono zembe na mtu anayehisiwa au mwenye maambukizi ya VVU. PEP lazima ichukuliwe ndani ya masaa 72, au siku 3 baada ya tendo👨🏾‍🦯

DR Charlz (@drcharless22) 's Twitter Profile Photo

Usikae kizembe, chukua simu yake saa 8 usiku yeye amelala, jipost status, caption ya malove love, akiamka asbh unread meseji 100+ 🤣

DR Charlz (@drcharless22) 's Twitter Profile Photo

Hofu yangu ni kwamba itafika mda private hospital zitakubali hicho kitita kipya then wagonjwa wenye NHIF watapewa huduma ambazo sio standard huko mahospitalini😩 👇🏽👇🏽

DR Charlz (@drcharless22) 's Twitter Profile Photo

Woman has two missions in her life, -One is to calm a man down when he is angry - Two is to make man angry when he is calm

DR Charlz (@drcharless22) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa naongea na baby wangu akasahau kukata simu nikasikia anasema “sorry baby nilikuwa naongea na bibi” jaman ndo bibi🤣

African girls (@africangirls22) 's Twitter Profile Photo