Platforms gani zinalipa na PayPal.
Kwanini usitumie PayPal?.
PayPal ni ya kibaguzi?
Payment Gateways gani ni mbadala wa PayPal?
Uzi huu utakuelekeza kila kitu kuhusu PayPal
๐งต
Retweet Kazi iendelee
KUWA NA BUSARA EPUKA KUMUULIZA MTU MASWALI HAYA
1. Hujaolewa tu?
2. Kwanini Huna Watoto?
3. Utazaa lini, umri unaenda!
4. Unafanya kazi wapi?
5. Kwanini Umenenepa/Umekonda?
Watu wanapitia mambo mengi magumu ambayo huna taarifa nayo wala hujawahi kuyasikia, jitahidi kuwa
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe
Mwanaume anaweza kuwa
Yesterday's Weekend Session ๐ฅโ
Happy Trading Week ๐ฅ
Link on profile BIO to get access to these FREE Sessions
NB: Winners to be announced today... โณ
Kama wewe ni kijana umri kati ya miaka 20-29,
1. Unakitambi
2. Huna kiwanja
3. Huna ajira au biashara
4. Unaishi kwa wazazi au ndugu
5. Hauna akiba ya millio 3+ bank
6. Kipato chako ni chini ya laki 5 kwa mwezi
Hutakiwi kua na mahusiano au kuoa, tengeneza maisha yako kwanza.
Kila MTU anatamani kukuza account yake
ya X kama hivi na pia kuingiza hata $1
kupitia x account yake
Usikose kitabu changu cha
"The Symphony of X Growth"
Kitatoka rasimi Tarehe 1 mwezi Wa pili
Like ,retweet na unifollow
maana nitakitoa bure Kwa baadhi ya follower
Umemaliza chuo una Bundle?
JIFUNZE HIZI SKILLS BURE LEO UPATE NA CHETI UDEMY| PROMOCODE ZIKO VALID WITHIN 24HRS tu.
1. Adobe After Effect
2. Complete Graphics Design
3. Microsoft Office:
4. Web Development
5. UIUX with Figma and Adobe XD
Repost #MadiniYaGaby