Adelick Andrea (@adelickand93213) 's Twitter Profile
Adelick Andrea

@adelickand93213

ID: 1648933318153347072

calendar_today20-04-2023 06:15:37

3,3K Tweet

315 Followers

1,1K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Safi faili limefika mezani kwa wakili MSOMI Peter Kibatala.🤝😂 Kuweka rekodi sawa Wakili wetu msomi hajawahi kupoteza PAMBANO.

Safi faili limefika mezani kwa wakili MSOMI Peter Kibatala.🤝😂

Kuweka rekodi sawa Wakili wetu msomi hajawahi kupoteza PAMBANO.
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati unadaiwa kodi ya pango, unadaiwa ada ya madogo. Home tambo linaita sana wanataka uwatumie chochote kitu…..na wewe mbanga zako zote zinasoma negative. Kila unayemgusa Chali kama Marco, hadi unadata🤬 Ila unajikaza jamii isijue umetikisika. Mungu alivyo waajabu

💨mangi mkuu (@kavishepb) 's Twitter Profile Photo

Huyu mwenye kapelo nilitonywa anaishi kibaha na anapenda kutembelea mitaa ya machinjioni loliondo kibaha kuna pub iko pale hakai na mtu zaidi ya mke wake ambae ni mfanya biasha k/koo soon tutajua

Huyu mwenye kapelo nilitonywa anaishi kibaha na anapenda kutembelea mitaa ya machinjioni loliondo kibaha kuna pub iko pale hakai na mtu zaidi ya mke wake ambae ni mfanya biasha k/koo soon tutajua