Action for Democratic Governance (A4DG).
@action4dg
A Non-governmental Organization (00NGO/R/4067) | Visioning to See Justice and Democratic society with people's centred development.
ID: 1224747527586697216
04-02-2020 17:32:45
344 Tweet
281 Followers
213 Following
Jamboβ¦! Meet Shaibu (A first-time voter) from Kilwa Masoko. Heβs telling on how our Voter Education School Outreaches through the #WydeCivicEngagement has helped in enhancing his awareness regarding the electoral participation. Powered by: alda* EPD - European Partnership for Democracy EU International Partnerships πͺπΊ
Jambo..! Ni siku nyengine katika mfululizo wa matembezi ya taasisi za elimu mkoani Lindi. Lengo ni kuwafikia Wapiga Kura wa mara ya kwanza kuelekea katika uchaguzi ujao. Tupo shule ya Kilwa Boys Sekondari. Imewezeshwa na; alda* EU International Partnerships πͺπΊ EPD - European Partnership for Democracy People in Need AmΓ©rica Latina
Jambo.! Katika utekelezaji wa mradi wa #DemokrasiaMtaani, hii ni sehemu ya matembezi ya mashuleni wakati wa utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kwa Wapiga Kura wa mara ya kwanza katika shule ya Sekondari ya Kilwa Boy wilayani Kilwa. Imewezeshwa na; alda* EPD - European Partnership for Democracy EU International Partnerships πͺπΊ
Jambo..! How we Wrapped-up our week in Kilwa. A total of 7 academic institutions with 1,000+ first-time voters were reached through our Voter Education School Outreaches under #Wydecivicengagement. See you next time Kilwaπ€ Powered by; alda* EPD - European Partnership for Democracy EU International Partnerships πͺπΊ
#LetβsTalkGovernance Be sure to tune-in from 12:00PM EAT through the Mlimaniradio106.5fm.5fm, today. Join us in βHii Ni Afrikaβ where weβll be discussing on youth involvement & participation in decision making process in the context of the forthcoming electoral process in Tanzania
Our Monday π₯π₯π₯ What a Captivating dialogue through the βHii ani Afrikaβ radio talkshow. A-lot has been expounded regarding youth participation and involvement in decision making process for the context of the forthcoming elections in Tanzania Asanteni sana Mlimaniradio106.5fm
Ni Mfululizo wa Kufikia vyombo vya habari kupitia #DemokrasiaMtaani kwa Ushirikiano na @aldaeurope chini ya programu ya #wydecivicengagement. Wiki jana tulifikia Mlimaniradio106.5fm kuzungumzia juu ushiriki wa vijana katika michakato ya kiraia nchini #Action4DGTz #SisiNiDemokrasia
Jambo Huyu hapa CarolinethomsonπΉπΏ wakati wa mahojiano yetu ya wiki jana kupitia Mlimaniradio106.5fm.5fm. Caroline anasisitiza juu ya ushiriki wa vijana kujiandikisha wakati wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Imewezeshwa na; alda* EPD - European Partnership for Democracy EU International Partnerships πͺπΊ
Jambo Jiunge nasi leo kupitia βJamvi la Machweo..β la TBC Taifa kuanzia sa10:30 Alasili. Tutakuwa Mubashara kupitia kipindi hiki cha redio tukijadili na kuzungumzia juu ya Ushiriki wa Wanachi katika Michakato ya Uchaguzi alda* | EPD - European Partnership for Democracy | EU International Partnerships πͺπΊ | People in Need AmΓ©rica Latina
βππ’π£ππ§π π§π πππ¦π¨π€π«ππ¬π’πβππππ«π§π’π§π πππ¬π¬π’π¨π§. ποΈ 06, Sept 2024 π Dar es Salaam, #Tanzania Guest Speaker Hon. Jokate Mwegelo a member of the WYDE Civic Engagement Network of Young Decision-makers & Secretary General of Umoja wa Vijana CCM Youth Wing will
Young People are Re-defining the Future of Democratic Processes in Africa βππ’π£ππ§π π§π πππ¦π¨π€π«ππ¬π’πβ with Caliph Makwita ED Action for Democratic Governance (A4DG). ποΈ 06, September 2024 π Dar Es Salaam, #Tanzania We shall unpack it all in our youth in Siasa learning sessions as part of
Ilikuwa ni wasaa mzuri sana kushirki mahojiano ya redio kupitia kipindi cha βJambi la Machweoβ cha TBCTAIFA Shukran belele kwa wana Jamvi kwa wasaa wa kujadili juu ya ushiriki wa Wanachi katika michakato ya Uchaguzi. #Wydecivicengagement alda* EPD - European Partnership for Democracy EU International Partnerships πͺπΊ
ππ’π£ππ§π π§π πππ¦π¨π€π«ππ¬π’π ππππ«π§π’π§π πππ¬π¬π’π¨π§ The WYDE Accountability Hubs work aims to mobilize women and young people from #Tanzania to engage in several learning sessions on promoting democracy. Leveraging on collaborations to work alongside women
Kama ulikosa wasaa wa kufuatilia matangazo kupitia βUchanganuzi..β wa Uatav juu ya βNafasi ya Wanawake Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024β Tafadhali gusa kiunganishi kwenye bio kutazama mahojiano yote na Afisa wetu ndugu @maseleedward1 youtu.be/trEDAOe5tpg?siβ¦