Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile
Tanzania Abroad TV

@abroadtanzania

Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected] tweets in Swahili and English

ID: 1363848043540459524

linkhttps://youtube.com/@TanzaniaAbroadTV?si=Ai4Xf_GRgpnxxjOH calendar_today22-02-2021 13:48:21

22,22K Tweet

75,75K Followers

141 Following

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Hellow dictator Paul Kagame you are disturbing Congo with your terror groups, like M23, and I wonder as man you feel okay while people continue to die in useless war. You are a head of state modeling your uniform. And people cheering you. What is wrong with us Africans? With

Hellow dictator <a href="/PaulKagame/">Paul Kagame</a> you are disturbing Congo with your terror groups, like M23, and I wonder as man you feel okay while people continue to die in useless war. You are a head of state modeling your uniform. And people cheering you. What is wrong with us Africans?

With
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Bunge la Mexico alivua nguo Bungeni wabunge wakawa na aibu , akasema mnaona aibu kisa niko uchi! Hamna aibu juu ya wananchi wenye njaa? Mbona Bunge letu mnataka kulifanya Kama la nchi moja nimeisikia nadhani ni Tasmania au Tanzania ndo wana Bunge la ajabu

Mbunge wa Bunge la Mexico alivua nguo Bungeni wabunge wakawa na aibu , akasema mnaona aibu kisa niko uchi! Hamna aibu juu ya wananchi wenye njaa? Mbona Bunge letu mnataka kulifanya Kama la nchi moja nimeisikia nadhani ni Tasmania au Tanzania ndo wana Bunge la ajabu
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mbowe huko ni mbali Kwani wanaombewa VIZA kurejeshwa mtaani? Kuna mambo yanaumiza hatupaswi kuwapa muda kwanini tarehe 29 na si Kesho au leo ? Wanaombewa VIZA au passport? Au wako Nje ya nchi? TAFAKARI SANA AISEE HAWA WATOTO WAACHIWE LEO

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa mbili kamili usiku. Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina. Sifa nilizozitaja; 1. Mrefu 2. Mweusi 3. Mwili wa ukakamavu (kama

Siku ya kwanza nimeongea story yangu public niliongea kwenye Club house. Ilikuwa 7/8 saa  mbili kamili usiku.

Kwenye story yangu kuna mahali nilimtaja mtu mwenye sifa hizi hapo awali sikumjua kabisa kwa majina.

Sifa nilizozitaja;

1. Mrefu
2. Mweusi
3. Mwili wa ukakamavu (kama
Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

ALERT ๐Ÿšจ ๐Ÿšจ๐Ÿšจ Anaitwa Jackline ameokotwa Kinyanambo C Mafinga MJINI kwenye pori dogo ameuwawa na Wasiojulikana na kutupwa . # Justice 4 Jackline # MASAUNI MUSTRESIGN. # MASAUNIMUSTGO

ALERT ๐Ÿšจ ๐Ÿšจ๐Ÿšจ

Anaitwa Jackline ameokotwa Kinyanambo C Mafinga MJINI kwenye pori dogo ameuwawa na Wasiojulikana na kutupwa .
# Justice 4 Jackline 
# MASAUNI MUSTRESIGN.
 # MASAUNIMUSTGO
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Hawa vijana uwa ni wa nini ? Ni kazi gani Ungesema wazi ingesaidia watu Kupima! Maana uwa kila post naona Una comment hivi Je ni kazi gani hawa watakuwa wanafanya na malipo Yao wanapataje!? Waeleze wazi vijana