
Abel Alfred Kinyondo, Ph.D.
@abelkinyondo
Natural Resources| Economic Governance| Tourism| Political Economics| Gender| Microfinance| Public Health| God| Family| Football, in no particular order!
ID: 2821166277
https://udsm.academia.edu/AKinyondo 10-10-2014 11:07:13
1,1K Tweet
1,1K Takipçi
344 Takip Edilen






“Tuko kwenye mchakato, tuko mbioni” ni maneno yaliyozoeleka masikioni. Hakuna ushiriki wala ushirikishwaji kwa wachimbaji wadogo waliopatiwa mashine za uchenjuaji wanaachwa bila mafunzo wala maandalizi.” Bonny Matto, Mchangiaji Jukwaa la Uziduaji 2025 Foundation for ASM Development (FADev)








"Kumekuwa na migogoro kati ya wananchi na migodi kuhusu matumizi ya vyanzo vya maji, kwani wote wanategemea rasilimali hiyo kwa mahitaji yao ya kila siku." Epaphroditus Sabuni, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali


"Hakika migodi inahitaji maji mengi sana, hasa katika shughuli za uchenjuaji, kwani bila maji shughuli hizi haziwezi kufanyika." Gerald Mturi, Ripoti ya Uendelevu #JukwaaLaUziduaji2025 HakiRasilimali






